Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Huyu 'ustaadhi wa gesi haitoki' siku hizi amelegea kama mlenda.Aione THE BIG SHOW
Visima viko baharini mkuu, kule Msimbati.Itachimbwa ardhini au baharini Kama baharini ni gharama kubwa mno hiyo
Uliiona hiyo mikataba kiongozi ambayo kina JK walikuwa wamelewa na kuisaini au ndo vile tena matokeo ya malisho ya 'mwamba' wetu?Badala ya kutaja hivyo vikwanzo , mnakuja na sentensi nyepesi tu kwamba ‘vikwazo’. Yale yale ya bandari ya Bagamoyo, mikataba ambayo mlevi taahira tu anaweza akasaini
JPM aliiota nadhani, wala hakuiona, maana hata Rais alikuwa haruhusiwi kuiona, kwahiyo alihadithiwa tu, au sio?Uliiona hiyo mikataba kiongozi ambayo kina jk walikuwa wamelewa na kuisaini au ndo vile tena matokeo ya malisho ya 'mwamba' wetu?
Tuachane na JPM, ambaye alikuwa na nguvu ya kusema chochote alichotaka bila kuulizwa chochote na yeyote (mifano ipo kedekede ya mambo aliyoyasema. Dr malecela kuhongwa na mabeberu ili autangaze ugonjwa wa zika, ghorofa kubwa kujengwa kwa mil.500, tril 1.5 hazikuenda kusikojulikana, kwmb aliikuta sukari ikiwa na bei zaidi ya 5000 n.k), mi nakuuliza wewe km wewe ULIIONA hiyo mikataba?JPM aliiota nadhani, wala hakuiona, maana hata Rais alikuwa haruhusiwi kuiona, kwahiyo alihadithiwa tu, au sio?
Vikwazo ilikuwa watu wa Mtwara
Na msemo wao "gesi haitoki"