Makamba: Gesi ya Mtwara kuanza kuchimbwa 2025

Makamba: Gesi ya Mtwara kuanza kuchimbwa 2025

Tuachane na jpm, ambaye alikuwa na nguvu ya kusema chochote alichotaka bila kuulizwa chochote na yeyote (mifano ipo kedekede ya mambo aliyoyasema.....Dr malecela kuhongwa na mabeberu ili autangaze ugonjwa wa zika, ghorofa kubwa kujengwa kwa mil.500, tril 1.5 hazikuenda kusikojulikana, kwmb aliikuta sukari ikiwa na bei zaidi ya 5000 n.k), mi nakuuliza wewe km wewe ULIIONA hiyo mikataba?
Unaweza ni nionyesha hiyo t 1.5 kwenye ripoti CAG au highlight hiyo paragraph iliyosema t 1.5 ilipigwa.
 
Tuachane na jpm, ambaye alikuwa na nguvu ya kusema chochote alichotaka bila kuulizwa chochote na yeyote (mifano ipo kedekede ya mambo aliyoyasema.....Dr malecela kuhongwa na mabeberu ili autangaze ugonjwa wa zika, ghorofa kubwa kujengwa kwa mil.500, tril 1.5 hazikuenda kusikojulikana, kwmb aliikuta sukari ikiwa na bei zaidi ya 5000 n.k), mi nakuuliza wewe km wewe ULIIONA hiyo mikataba?
Mkataba umeshaambiwa siri, utauonaje? Ila yule mwenye dhamana ya kuuangalia akiungalia na akakueleza, halafu wengine waliopewa nao dhamana ya kuuona walikuwa hawapingi, then unatakaje?
 
Wait a minute [emoji848][emoji848][emoji848].. Mmmhhh okay..

Mkataba unasemaje? Sisi kama nchi tunapata % ngapi ?? So gharama tu ya uchimbaji ni tril 70? Eti? Gharama hizi kubwa mno wamezipataje kabla hata mradi haujamalizika? Yaani deni la Taifa tokea uhuru hadi sasa ni Tril 78... Sasa gharama za uchimbaji gesi zote ni tril 70?

Jamani, nawaza tu, usikute waka zidisha gharama sana tukaanza kupigwa mapemaaaaaa.. Nawaza tu, uuwiii, OMG.
Alafu home boy wake anayetokea ilipo gesi anataka mikopo ya awamu ya tano ichunguzwe lakini si issue za gesi! Ngoja tuendelee kunywa mtori bila kuchokonoa uwepo wa nyama au la [emoji2]
 
Wait a minute 🤔🤔🤔.. Mmmhhh okay..

Mkataba unasemaje? Sisi kama nchi tunapata % ngapi ?? So gharama tu ya uchimbaji ni tril 70? Eti? Gharama hizi kubwa mno wamezipataje kabla hata mradi haujamalizika? Yaani deni la Taifa tokea uhuru hadi sasa ni Tril 78... Sasa gharama za uchimbaji gesi zote ni tril 70?

Jamani, nawaza tu, usikute waka zidisha gharama sana tukaanza kupigwa mapemaaaaaa.. Nawaza tu, uuwiii, OMG.
Halafu huko tuendako matumizi ya hii nishati ipo mashakani. Je, utafiti umefanyika kuhusu soko la hiyo gesi ndani na nje ya nchi?
 
Hapana na ndo maana sijawahi kuzungumza chochote kuhusu ubaya au uzuri wake....nimeamua kukaa kimya sababu katika siasa zetu lolote laweza kusemwa
Sasa unakaaje kimya kwa kubishia maneno ya aliyeona, kaa kimya kabisa tujue umefunga mdomo
 
Hii nchi kuna watu wameumbwa kulalamika na kuwa na mashaka dhidi ya watu fulani walioamua tu kuwa nao na mashaka milele daima. Hakuna kitakachopangwa kisiache miguno ya wasiwasi. Ajabu pia ni kuwa wahusika wakikaa kimya watu haohao haraka huja humu na mathreads, '.....atatembelea lini wananchi?', 'mbona hatuoni jipya?', 'hivi gesi ya asili itanufaisha lini wananchi?' n.k

Makamba piga kazi baba, kafaida kadogo utakachokapata wewe kama wewe ndiyo maana ya kuwa waziri.....kila mmoja angekapata kafaida hako, tena walalamikaji na wenye mashaka wa humu wangefanya jitihada ya kukapata kakubwa zaidi. Maana yake haya malalamiko na mashaka meeeengi ni matokeo ya wivu tu na husda. Ukisema uwasikilize wabongo basi utajikuta umesimama hapo hapo bila kupiga hatua yoyote ile
Sawa sawa mamaake Makamba!tumekupata!!!
 
Wait a minute 🤔🤔🤔 Mmmhhh okay.

Mkataba unasemaje? Sisi kama nchi tunapata % ngapi? So gharama tu ya uchimbaji ni tril 70? Eti? Gharama hizi kubwa mno wamezipataje kabla hata mradi haujamalizika? Yaani deni la Taifa tokea uhuru hadi sasa ni Tril 78. Sasa gharama za uchimbaji gesi hata pamoja na kujenga LNG plant zote ni tril 70? Hizi gharama kubwa sanaaa, something haiko sawa.

Jamani, nawaza tu, usikute waka zidisha gharama sana tukaanza kupigwa mapemaaaaaa. Nawaza tu, uuwiii, OMG.
Ukubwa au udogo wa gharama hutegemea na project husika... Na si kulinganisha na vitu visivyohusiana na project hiyo..
Mfano, tungejua wenzetu barani Afrika wenye gesi kama yetu, wao plant yenye uwezo kama unaotarajiwa kujengwa kwetu gharama zao zipoje
 
Sawa sawa mamaake Makamba!tumekupata!!!
Aisee nilivyo busy na ujenzi sina hata sekunde ya kujibizana na mapunga aina yako,.......tena nyie mashostito wa mitandaoni ndiyo kabisaaaaa, nawapitia mbali. Please, try another stand
 
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imeanza mazungumzo na wawekezaji kutoka kampuni ya Equinor na Shell zinazotarajiwa kutekeleza mradi wa uchimbaji gesi asilia Kusini mwa Tanzania, mradi utakaogharimu shilingi trilioni 70

Waziri Makmba ameyasema hayo jijini Arusha akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema mpaka sasa hatua za awali zinaendelea vizuri hivyo Serikali inatazamia zoezi la uchimbaji wa gesi asilia kuanza ndani ya miaka minne

Ameongeza kuwa zoezi la uchimbaji na uchakataji wa gesi asilia lilitarajiwa kuanza mwaka 2016, hatua iliyokwamishwa na vikwazo ambavyo kwa sasa Serikali imeweka mipango madhubuti ya kuvitatua

Chanzo: TBC
Ama kweli Viongozi wa Tanzania yangu vilaza kwelikweli.
Hivi si alikuwepo wakati yunaambiwa kuna bomba la gasi lilitandikwa hadi Wazo hill au uchimbaji huu ni kusini nyingineyo tusiyoijua.
Yaani ni movie kila kukicha na umasikini unaendelea!
Kuweni serious basi kwa mustakabali wa Tanzania..
 

Gesi ya Mtwara kuanza kuchimbwa 2025? Kwanini isianze Chiba mwaka 2024 kabla ya uchaguzi mkuu? Hii mnataka kuja kufanya Gia ya kuomba kura. Badili kauli makamba​

 
Back
Top Bottom