Makamba: Gesi ya Mtwara kuanza kuchimbwa 2025

Wewe kama nani uambiwe tulia inchi isimame kwanza
 
Hivi kusema gesi itaanza kuchimbwa wana maana gani? Lile bomba lililojengwa enzi za JK kuja Dar kwani halijaanza kusafirisha gesi? Na vipi gesi ya Songo songo haiji Dar kwani?
Hili swali na mimi najiuliza
 
Ni kwa sababu huyo alieuona pia hakutaka na sisi tuuone. Alitaka tu tuamini maneno yake. Angekua mkweli, angetuonyesha!
Hivi kweli kwa raia lay man kuna access kuweza kuona hiyo mikataba ya kiserikali ili kujiridhisha na kinachoongelewa?

Ninavyoelewa, walioko mamlakani ndiyo hufanya hayo mambo kwa niaba yetu bila kulazimishwa na sheria yoyote kuonesha hadharani kila mikataba wanayoiingia kwa niaba ya taifa.

Ninaomba mfano hai, ni mikataba gani serikali iliiingia halafu wewe ukaoneshwa kwamba hii hapa na kisha kutafsiriwa tija yake itakuwaje kwa nchi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna niliposema kwamba kuna mikataba mingine tuliwahi kuonyeshwa. Lakini pia, tunalo Bunge ambalo ndio uwakilishi wa wananchi. Kama kuna mkataba mzuri na wenye manufaa kwa wananchi, kuna sababu gani ya kuuficha?

Wanabaki wahuni wachache tu wakitaka kutuaminisha ni mkataba mzuri, na wahuni wengine wanadai ni mkataba mbaya, ila hawataki tuuone. Mtu yeyote mwenye akili, hawezi kuwaamini.
 
Magufuli ndio ametufikisha hapa.
 
Mkuu, Naona kabisa unaongea unachokijua...Big up Mkuu Chige.
 


Bravo mkuu, nimekosa tu kitufe cha kukupigia makofi
 
hii gesi ya mtwara haikuanza leo.
Sasa sijui ni muendelezo au NI uchimbaji mpya.
NI matrilioni ya fedhwa.
KULIPA FADHILA NDO MWENDO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…