Pre GE2025 Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukweli utabakia kuwa ukweli CCM inafaa zaidi waupime uwezo wa Kiongozi wao Kama unatosha ama hautoshi waje na majibu ya nini kifanyike 2025?Siyo tu kusifia hatakama mambo yanaenda kombo.
 
Baada ya hapo akaanza kumpopoa Rais kwa Mange Kimambi kupitia mahusiano ya Dada yake Mwamvita
 
Hii kauli si nzuri, sjajua kwann aliongea hii kauli ni makusudi au kutokujua?
 
Hili likuwa kosa kubwa, eti Hatumtaki? amefanya sesnsa gani akaona "hatumtaki"
 
Huyu mtu kichwa maji sana. Yaani rais aende nje kuingia makubaliano ya ovyo kugawa mali asili za nchi na mashirika ya umma tukae kimya tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…