Pre GE2025 Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea

Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho

"Hata kama hatumkubali, Rais Samia ni wetu"

Hii statement ni very "ambiguous" yenye kitu nyuma yake.

Na ieleweke wazi kuwa, ni kweli kabisa kuwa Samia Suluhu Hassan hakubaliki na ni mzigo mzito usio na faida yoyote kwa Wa - Tanganyika

Hata hivyo kwa kauli hii kutolewa na January Makamba waziri mteule wa huyu Rais "asiyekubalika" lakini tulazimike kumkubali hivyo hivyo kwa sababu ni wetu, mtu mwingine anaweza kufikiri hivi:

√ Kwamba, hata yeye January Makamba hamkubali Samia lakini kwa sababu ni wetu basi hana la kufanya inabidi amkubali tu..!

√ Lakini all in all, najiuliza, was it necessary kwa January Makamba kutumia maneno haya kuelezea kilichokukuwa kichwani mwake kiasi cha kusababisha mjadala kumhusu?
 
Wanatakaje, azurure hovyo alafu tusiseme? Akae nyumbani afanye kazi zake sio kuzurura kuomba omba.
Mbona wanasimu nzuri tu, hawawezi kuomba kwa simu, wakikubaliwa wanatuma wahusika ku-sign mikataba, badala kubeba watu kwenye ndege kwenda kukata mitaa.
 
Story yote ilikuwa JF toka huyo mkulima anakubaliana na Mwalimu kuachia shamba kwa ridhaa yake mwenyewe kwa malipo kidogo ya fidia.

Kilichotokea akulipwa hela zote walizokubaliana na Mwalimu na mwenyewe akawa ameshasahau hilo deni lililobaki.

Wahuni wakapata mafaili kipindi cha Kikwete na kumtafuta mtoto wake ambae analima Kenya na kuanza kuidai serikali, wakaenda mahakama ya Tanzania wakatunukiwa malipo.

Serikali ikagoma kulipa toka enzi za JK na Magufuli akafuata msimamo wa mtangulizi wake.

Ndipo wahuni wakafungua tena shauri nje ya nchi kukazia kesi, serikali aikwenda baada ya hapo wakaanza kuiwinda ndege.

Mlolongo mzima ulikuwa JF mpaka case details na maamuzi ya mahakama zote. Shida yenu mnalishana story halafu mnadhani wote humu atufuatilii.

99% ya national issues uwa zinapita JF with full background details, shida members wengi hawana muda wa kusoma mada zenye background ndefu ya mgogoro husika wao kazi yao kutukana tu mtu mmoja au wawili wakianza humu; na Lissu akiwapotosha ndio kabisaa.
Umeandika UWONGO

Hermanus Steyn, huyu alikua mlowezi aliyemiliki mashamba makubwa sana ya kilimo mkoani Arusha. Mwaka 1982 serikali ya Nyerere ikataifisha mashamba yake, magari yake 250, ndege ndogo 12, mifugo na majengo.

Akafungua kesi mahakamani hapahapa nchini akidai fidia ya $36M. Mahakama kuu ya Tanzania ikampa ushindi na kumgrant "tuzo" hiyo ya $36M. Serikali ikasema haiwezi kumlipa pesa zote hizo. Ikaunda kamati maalumu ya kufanya tathmini ya mali zilizotaifishwa. Kamati hiyo iliongozwa na Mzee Chenge na Mkulo, ikapendekeza alipwe $20M kinyume na "tuzo" aliyopewa na mahakama ya $36M.

Serikali ya Rais Mwinyi ikamlipa $20M kama ilivyopendekezwa na kamati ya akina Chenge. Wakati huo sarafu yetu bado ilikua na nguvu. $20M zilikua kama TZS 44M hivi kwa wakati huo. Mkulima Steyn akapewa lakini hakuridhika. Akaendelea kudai kiasi kilichobakia. Na amekua akidai tangu wakati huo hadi sasa bila kulipwa. Kiasi kilichobakia kilikua $16M lakini kutokana na kukaa kwa muda mrefu pamoja na riba kimefika $33M, sawa na TZS 70 Bilioni kwa sasa.

Serikali ya Tanzania ilipoona anasumbua sana kudai fedha hizo ikampiga marufuku kukanyaga ardhi ya Tanzania. Steyn akaona atapoteza haki yake. Akachukua hukumu ya mahakama kuu ya Tanzania iliyompa ushindi na kwenda kusajili tuzo yake katika Mahakama ya Afrika kusini. The Arbitration act, cap.15 inamruhusu kufanya hivyo.

Akaomba mali za serikali ya Tanzania zilizopo Afrika kusini zikamatwe ili kufidia deni lake. Kifungu cha 30 cha sheria hiyo kinatoa masharti ya kufanya hivyo (conditions for enforcement of foreign awards). Na ndipo ndege yetu aina ya Airbus A220-300 ilipozuiwa nchini humo.

Lakini ikaachiwa baada ya mahakama ya Guateng kujiridhisha kuwa Hermanus alikosea kusajili "tuzo" yake mahakamani hapo (procedural irregularities). Sasa mkulima huyo amesajili "tuzo" hiyo nchini Canada, na ndio maana ndege yetu nyingine imekamatwa.

Jambo ambalo Kabudi anapotosha kwa makusudi ni kusema kuwa tulimshinda mkulima Hermanus Steyn on merit. Uongo mtupu. Kama tulishinda on merit why the matter is not res judicata?

Hatukumshinda Steyn on merit. Yani hatukumshinda katika kesi ya msingi ya kutaka alipwe fedha anazotudai. Tulimshinda kwa "technicalities" za kisheria (procedural irregularities) baada ya yeye kukosea kusajili tuzo hiyo kwenye mahakama ya Guateng.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Hukumu ya mahakama kuu ya Tanzania iliyompa Hermanus tuzo ya $36M bado haijabatilishwa. Na Hermanus anaweza kuisajili tuzo hiyo katika nchi yoyote ya Jumuiya ya madola. Kwahiyo hata ndege ikiachiwa Canada, anaweza kusajili tuzo yake India, Kenya, Zambia, Australia, au nchi yoyote yenye mali za Tanzania zinazoweza kufikia thamani ya tuzo hiyo, na mali hizo kukamatwa
 
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea

Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho

kumbe ni kweli hata kwao hakubaliki
 
Kama nilivyokwambia hayo mambo yalishajadiliwa JF sana na mengine as things developed.

Hizo story zenu za nusu ukweli mnapeana huko Twitter, pamoja na hayo unakiri mgogoro umetoka mbali na sio Magufuli alieanza kukataa kumlipa toka enzi za JK.

Wapambe wa mzungu walipoona serikali imegoma kuwalipa wakaenda arbitration (sikumbuki nchi gani) kukazia hukumu. Baada ya hapo wakaanza kuivizia ndege, ikakamatwa S.A mara ya kwanza ikabidi waache kwa sababu hatuna mkataba nao wakimataifa wa kukazia kesi.

Tofauti na maelezo yako sijui walienda fungua shauri nchi za madola au sijui hukumu ya Tanzania unaweza kazia nchi ya madola. Baada ya kuikosa ndege S.A ndio wakaanza ivizia kwenye nchi nyingine ambazo wanachama wa hiyo arbitration walioenda kukazia hukumu.

Get your facts straight unajua shida kubwa ya watu mnaomtukana Magufuli hamna hata full facts ya mambo mnayomshutumu nayo zaidi ya upepo wa story za Maria space mule wamejaa waropokaji tu.

Magufuli was not perfect he had is shortcomings lakini apewe lawama anazostahili, sio mambo yaliyotungwa na waropokaji wa Twitter spaces.

Anyway ni muda wa kuachana na Magufuli hii ni mada ya Makamba na Bi Tozo.
 
Tuishi hapa kwenye mananeno yako ''Magufuli was not perfect he had is shortcomings''..
Hizo shortcomings sasa ndizo zinamfanya kuwa the WORST president ever
 
Kwako ila kwetu ni.....
images (59).jpeg.jpg
 
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea

Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho

Kaongea vizuri ingawa mleta mada ia twisted

Tubebe utaifa kwanza!
 
Back
Top Bottom