Pre GE2025 Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu

Pre GE2025 Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watanzania tuna hii tabia adimu...sio jambo zuri. Mimi mwenyewe ni muhanga wa hii tabia!!
Mfano, Ukiwa unaishi Ujerumani, ni jambo rahisi sana kwa watanzania wenzako hapo Ujerumani kuungaa na mataifa mengine kama Naigeria, Congo, Algeria, Sudani, Wajerumani KUKUNANGA. Lakini ni nadra kwa Wanaijeria kuungana na Watanzania kumshambulia Mnaigeria mwenzao. Watamshambulia wao kwa wao. Naukijaribu kuwa nosy watakujeuzia kibao wewe.

Mfano Diamond Platnumz alipokuwa kwenye ile tuzo ya BET. Tuliona watu wanye majina makubwa hapa Bongo wakimpigia kampeni Burna Boy. Lakini uko Naigeria wale wenye majina makubwa wasiopenda Burna Boy hawewezi kujitokeza hadharani na kumpigia kampeni Diamond. Watakaa kimya. Hii tabia ndio ipo kwenye mataifa mengine.

Marehemu Kanumba kama nina kumbuka vizuri alitokwa na machozi kwa ajili ya hii tabia.
Wengine wanatushangaa
 
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea

Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho

Maskini kupara anaenda tumbuliwa
 
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea

Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho

Amesema hata kama hamumpendi ila ndio Rais huyo hata mzushe vipi hatoki at any cost.

Ndio maana Jiwe alikuwa anawapelekea moto tuu.
 
Amesema hata kama hamumpendi ila ndio Rais huyo hata mzushe vipi hatoki at any cost.

Ndio maana Jiwe alikuwa anawapelekea moto tuu.
"Hatumkubali" .........sasa ndo tunaanza kuyaelewa yale matusi ya Mange kwa mama,,,.........watu tonge linaporwa toka mkononi taraaatibu

Ogopa teknolojia
 
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea

Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho

Wamegawa Nini safari hii

Kila wakisafiri wakirudi rasilimali zetu zinayoyoma
 
Tafuta habari za kina kuhusu hizo kesi kuanzia ya mkulima Stein mwenyewe kwanza hakuwa hata na habari za shamba ni wapambe tu ndio waliofungua kesi zama JK.

Hayo mambo tumejadili sana humu wapingaji ya maamuzi ya serikali kipindi cha Magufuli given the background ya kesi zenyewe ni upigaji mtupu.
Hizo ni habari za kijiweni, sikutegemea nizisikie kutoka kwa mtu mbobezi kama wewe.

Haki ni haki lazima imuelekee muhusika hata kama atakuwa ni marehemu. Angekuwa hana haki basi Mahakama zingemnyima.

Hiyo lugha yenu ya kusema UPIGAJI ilikuwa ni propaganda tu ambazo Magufuli alipandikiza kwa wajinga
 
Hiki kizazi cha Wanasiasa kilichopo CCM ni cha hovyo sana. Imagine, Makamba, Nape, Mwigulu. Huyu Mama simzungumzii maana alikutana na Urais barabarani. Tunataka Rais aliyehustle. Rais anayeelewa maisha ya Kitanzania yalivyo. Siyo hawa uchwara waliokulia ikulu na kusoma nje ya nchi. Ukiwaambia kuna Watanzania wqnateseka kwa sababu ya maamuzi ya kipumbavu ya wenye mamlaka hawawezi elewa.
 
Hizo ni habari za kijiweni, sikutegemea nizisikie kutoka kwa mtu mbobezi kama wewe.

Haki ni haki lazima imuelekee muhusika hata kama atakuwa ni marehemu. Angekuwa hana haki basi Mahakama zingemnyima.

Hiyo lugha yenu ya kusema UPIGAJI ilikuwa ni propaganda tu ambazo Magufuli alipandikiza kwa wajinga
Story yote ilikuwa JF toka huyo mkulima anakubaliana na Mwalimu kuachia shamba kwa ridhaa yake mwenyewe kwa malipo kidogo ya fidia.

Kilichotokea akulipwa hela zote walizokubaliana na Mwalimu na mwenyewe akawa ameshasahau hilo deni lililobaki.

Wahuni wakapata mafaili kipindi cha Kikwete na kumtafuta mtoto wake ambae analima Kenya na kuanza kuidai serikali, wakaenda mahakama ya Tanzania wakatunukiwa malipo.

Serikali ikagoma kulipa toka enzi za JK na Magufuli akafuata msimamo wa mtangulizi wake.

Ndipo wahuni wakafungua tena shauri nje ya nchi kukazia kesi, serikali aikwenda baada ya hapo wakaanza kuiwinda ndege.

Mlolongo mzima ulikuwa JF mpaka case details na maamuzi ya mahakama zote. Shida yenu mnalishana story halafu mnadhani wote humu atufuatilii.

99% ya national issues uwa zinapita JF with full background details, shida members wengi hawana muda wa kusoma mada zenye background ndefu ya mgogoro husika wao kazi yao kutukana tu mtu mmoja au wawili wakianza humu; na Lissu akiwapotosha ndio kabisaa.
 
Hizi ziara za Rais Samia zinagharimu hela nyingi za watanzania haswa wale maskini.Kwanini asikae na Wachumi wakatafuta namna bora ya kukuza uchumi wa Nchi.Kuliko kutangatanga huku na kule kwenda kutafuta hela zenye riba na masharti kibao!ambazo zinaitweza Tanzania kuonekana Kama Taifa ombaomba Duniani na barani Afrika? Tuseme hizi ziara ni ukosefu wa Dira ya Tanzania Kama Taifa?Au Kiongozi kaamua kutumia njia ya mkato kukusanya mapato na kusukuma miradi ya maendeleo Nchini? Usiwe mjadala sana hayo yalikuwa maoni yangu bunafsi Watanzania wezangu wapenda Nchi yetu.
 
Back
Top Bottom