Pre GE2025 Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mange hahitaji malipo kutukana au kumchafua mtu akitaka.
Wewe siyo follower wa Mange Kimambi. Kaa kimya kama unakunya, wacha tulio down to earth na mambo haya tukudadavulie
 
Kusema hatakama hatumkubali rais maanayake nayeye amejijumuisha kwa wasio mkubali.

Ingekuwa sahihi kusema hatakama hamumkubali nasio kusema hatakama hatumkubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…