Quaresma Fai
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 590
- 630
Wana jf pia ni WATanzania, wasikie..Sijawahi kumsikia mtanzania yoyote akisema hamkubali Rais Samia 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jf pia ni WATanzania, wasikie..Sijawahi kumsikia mtanzania yoyote akisema hamkubali Rais Samia 🐼
Wewe siyo follower wa Mange Kimambi. Kaa kimya kama unakunya, wacha tulio down to earth na mambo haya tukudadavulieMange hahitaji malipo kutukana au kumchafua mtu akitaka.
TumuombeeJanuary bado ana ndoto za kuwa Rais wa JMT
Itakuwa Urais wa Manzese au wa tff... hivi jamaa huwa yuko SERIOUS kabisa kuhusu URAIS?
DUH! ATANIFANYA NA MIMI Kishimbe wa Kishimbe NIANZE KUJITAFAKARI KUHUSU URAHISI!
😅