Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Niliwahi kutoa hoja kama hii pia kwamba maji yanayotoka kwemye bwawa kuendesha mitambo kwa nn yasifanyiwe recycling yakaendelea kujaa na kuendesha mitambo hiyo!!

Kuna haja gani ya kuyajaza then kuyaachia yaondoke tena. Ukishajaza fanya recycling!!
Kuna downstream activities lazima ziendelee. Unataka mto ufe kabisa
 
S01EP02
 
Basi wangefanya recyicle ya maji ili yasipotelee baharini itakuwa tumepoteza mradi

Niliwahi kutoa hoja kama hii pia kwamba maji yanayotoka kwemye bwawa kuendesha mitambo kwa nn yasifanyiwe recycling yakaendelea kujaa na kuendesha mitambo hiyo!!

Kuna haja gani ya kuyajaza then kuyaachia yaondoke tena. Ukishajaza fanya recycling!!
... principles of energy haziko hivyo.
 
Mbona anamfokea mleta mvua?

Huyu jamaa tayari kipanda kichwa kishamwingia, hayuko salama!

Anazungumzia mvua yeye kama Nani? Anaifahamu hiyo nguvu ya mvua?
 
Niliwahi kutoa hoja kama hii pia kwamba maji yanayotoka kwemye bwawa kuendesha mitambo kwa nn yasifanyiwe recycling yakaendelea kujaa na kuendesha mitambo hiyo!!

Kuna haja gani ya kuyajaza then kuyaachia yaondoke tena. Ukishajaza fanya recycling!!
Kuyarudisha bwawani utahitaji umeme kama ule uliozalishwa au zaidi.
 
Mwanzon alisema mvua zikianza bwawa likaingoaaji mgao utakua ndoto

Sahv anasema itachukua misimu miwili ya mvua mpka bwawa lijae maji[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisema kila Mara makamba
Anaihujumu Hii nchi makusudi Watu wanasema namwonea jamaa wivu.

Haya Sasa yanajidhihirisha waziwazi

Mgao wa umeme bado tuko nao Sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwe wakweli mgao umepungua kama walivyoahidi sahvi zinapelea MW 150 Pekee tofauti na mwanzoni pale 300 plus!!

Tuwe optimistic, Sasa ahujumu Ili apate Nini? Yaani atafaidika Nini Bwawa lisipoisha?? Si zaidi ataporomoka kisiasa??
 
Kulijaza misimu miwili ya mvua, lakini likijaa, maji yatatumika kuendesha mitambo kwa mwaka 1!

Maana yake ni kuwa kuna wakati lirakuwa tupu bila maji, na hivyo mgao kuendelea.
Kuna kinyerezi, acheni kulialia
 
Mwamba anatuandaa kisaikolojia ili endelee kuuza majenereta[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hayo majenereta ni mangapi yanaoyouzwa kila siku!?..maana umeme ukikatika si dar si mikoani sioni hayo majenereta,zaidi ni kariakoo tu,Sasa miaka yote wanawauzia watu wa kkoo tu!!?..tafakarini mambo,mkiambiwa ukweli hamtaki,mnataka muongopewe,hili suala lilisemwa kabla hata bwawa halijaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…