Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
UmenenaKama Mtu Akifa anasifiwa kwa Mema yake Basi lazima Pia Alaumiwe kwa Ubaya wake ili iwe Funzo na kwa Wengini na Sio Kosa Msema aliyekufa iwe kwa Mazuri au Mabaya
Tatizo hapa tuna kundi ambalo wao wanajiona ni kanda bora kuliko kanda zingine.Maneno mazuri sana January kaongea
Kushindana kuonyesha nani ni mnazi zaidi wa rais Magufuli is useless, this man is dead na harudi tena.
Na kushibdana kuonyesha nani ni mnazi zaidi wa rais Samia ni kupoteza muda, kwa sababu Samia keshasoma gemu lote anajua nini maana ya kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
Taratibu Tunawaona WanamalizanaMatunda ya uchaguzi wa 2020 ndo hayo.lazima waparuane tu
Wale wezi wana taka Mama aendelee kuwafunga watu, kuwaibia watu, kuwapa watu kesi za kugushi. Maana walisha kula mbwa wanataka wamlishe na mama.
Tumeona Mama kaagiza kesi zisizonna ushahidi zifutwe, ila mwezi sasa Dpp yuko kimya. Mama kaahiza vyombo vya habari vifunguliwe, kanuni zifuatwr, waziri ana itisha vikao kujadiliana, yani hakuna nidhamu kwenye huu utawala.
Bado wanafikiribMagu yuko hai.
Sasa tumuombe Mama awashughulikie hawa wote wanao pandisha mabega...
Hushindi Hushindi,,...........Tatizo hapa tuna kundi ambalo wao wanajiona ni kanda bora kuliko kanda zingine.
Hili jambo lazima tulipige vita kabisa ili huo ubaguz wa kikanda ukomeshwe na ukiwauliza wanasema kuwa kanda yao ndiyo inaamua ushindi wa ccm.
Huu ni ujinga mkubwa sana uliojaa vichwani mwa kundi hili na wao wanaamini kuwa rais bora lazima atoke kwenye jamii yao.
Ushindi upo paaale paaaleeeHushindi Hushindi,,...........