safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Kitu gani kinakufanya usiamini kwamba walienda kwenye program ya kilimo ?Ndiyo maana uzi huu unasema, tusitafute mchawi, Bashe, January na Mama Samia wanaujuwa ukweli wa vijana wetu waliopo israel.
Ninaye mdogo wangu alimaliza SUA yeye aliwahi kwenda huko kwa ajili ya mambo ya kilimo kama internship na alikaa huko kwa mwaka mmoja.
sidhani kama kuna jambo la ziada zaidi ya kufanya kilimo.
Hoja ya msingi ni kilimo na huo ndio uwazi uliokuwepo,kama kuna jambo kinyume na hilo ilikuwa wewe ndio uweke hoja na uthibitisho wa kinyume na mambo yalivyo