Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Ndiyo maana uzi huu unasema, tusitafute mchawi, Bashe, January na Mama Samia wanaujuwa ukweli wa vijana wetu waliopo israel.
Kitu gani kinakufanya usiamini kwamba walienda kwenye program ya kilimo ?

Ninaye mdogo wangu alimaliza SUA yeye aliwahi kwenda huko kwa ajili ya mambo ya kilimo kama internship na alikaa huko kwa mwaka mmoja.

sidhani kama kuna jambo la ziada zaidi ya kufanya kilimo.

Hoja ya msingi ni kilimo na huo ndio uwazi uliokuwepo,kama kuna jambo kinyume na hilo ilikuwa wewe ndio uweke hoja na uthibitisho wa kinyume na mambo yalivyo
 
Kwa hao vijana, kama ni kweli Watanzania, kuwepo jeshini Israel maana yake Tanzania imechaguwa upande na ipo vitani rasmi.

Tusidanganyane kuwa atanzania haifungamani na yeyote.
Wanyongwe wote
 
Wapi nimesema hayo?

Kanisome tena post namba 1, usitie ujinga kinywani mwangu.
 
Humu ndani ya mada hii naona ni vita za waumini. wafia itikadi na wafia dini...💨 🏃‍♂️💨
 
Wapi nimesema hayo?

Kanisome tena post namba 1, usitie ujinga kinywani mwangu.
Ukqeli ni kwamba kuna program ya kilimo huko ipo na vijana wengi wanaenda ikiwemo na ndugu yangu alishawahi kwenda huko.

Huo ndio ukweli wa mambo
 
Ukqeli ni kwamba kuna program ya kilimo huko ipo na vijana wengi wanaenda ikiwemo na ndugu yangu alishawahi kwenda huko.

Huo ndio ukweli wa mambo
Unaonesha huwafahamu mazayuni. Kaongee vizuri na ndugu zako uwaulize wangapi wamebaki katika walioenda?
 
Bila shaka huyo mdogo wako zuzu zuzu hivi alirudi shoga
 
Asante bibi
 
🙄 !
 
Imani ni kitu Hatari sana kama hutotumia vizuri Akili zako mwenyewe kwa kujiuliza mambo mengi utakayokutana nayo humo vitabuni au utakavyo hubiriwa !!

Wasiokuwa na uwezo wa kujiuliza ndio wanaokuwa Radicalised !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…