mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Umesahau kadi ya ccm pia iliokotwa hukoNakumbuka kuna kitambulisho cha Bavichaaa kiliokotwa Ukraine
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kadi ya ccm pia iliokotwa hukoNakumbuka kuna kitambulisho cha Bavichaaa kiliokotwa Ukraine
Ninyi mashetani mtanena nini, zaidi kusifia ushetani wenu?Yule kijana alikuwa na mission zake za siri na watu wake, hamas hawana makosa.
Hebu pitieni hapa muone Status ya Mwafrika huko Palestina.👇
View: https://youtu.be/YCY_Vwyqqww?si=bo13ygZKUXwFzTGX
Wapalestina wanawaita Waafrika Waisilamu wenzao Al Abidi huko Gaza.
Ewe Mwisilamu wa Mbagala Dini isikuzibe macho
Sina maana kuwa Israel hakuna ubaguzi upo.
Mwafrika tetea Waafrika kwanza.
Al Abidi ni Mtumwa katika lugha ya Kiarabu.
Na anqyewapa hela magaidi naye afanywe nini? Anayetibu magaidi afanywe nini? Anqyewapa silaha magaidi afanywe nini?Ninyi mashetani mtanena nini, zaidi kusifia ushetani wenu?
Ulimwengu wa wasraarabu, teketeza Hamas na magaidi mengine. Kama kuna watu wastaarabu wanastahili haki yao, wapewe. Lakini kamwe Dunia isiruhusu magaidi kupewa nchi. Magaidi yakipewa nchi, itakuwakiwanda cha kuzalisha magaidi mengine zaidi.
Hao madogo waliokufa ni walienda internship israel wakitokea SUA tafuta majina yao kwenye website ya SUA utawaona acha ukichaa na utahira wa kuzusha habari za kusadikika kwa vile dini yenu imeguswa kuwa na utu dhidi ya mtanzania mwenzakoHao ni tofauti kabisa na hawa wanaoenda kufundishwa namna ya kuuwa
Wote wanapelekwa na serikali na hili swali ungeuliza kwa wahusika waliowaombea ajira za kwenda huko
Kama walienda kufanya kazi za ndani na badala yake wakafanyiwa unyama huo na imethibishwa kuwa ni watz basi ni jukumu la serikali kuwarudisha
Sisi tunajadili tu kuhusu Hao wajeda na sio vijakazi kwa sasa
Nimeona je May 4 , 2019 Joshua Molel aliikua ameshaenda Israel?Katazame na post #107 uje useme na hao je?
😄 🤣 😂 yaani kuna watu wao maisha yao hayaendi bila hirizi na ntunguli, chale mpaka kwenye machoHaya Majeshi yetu ya Kiafrika hayana Confidence tu ndio maana yanatumia hayaendi Vitani bila Hirizi.
wewe sio msemaji wa serikali ya Tanzania.gaidi ni gaidi tu. ni kwamba unaweka hizi picha za wayahudi wa kiethiopia ili dunia iamini kwamba wale vijana walipelekwa kule kijeshi? BAshe ambaye ni msomali swala tano, makamba naye hivyo, mama samia naye hivyo, kwamba wangefanya hivyo? haujui kwamba walienda Israel kujifunza kilimo kwa vitendo kwenye mashamba ambayo tayari yapo? haujui kuwa Israel iligeuza jangwa likazalisha mazao yote unayoyajua hapa duniani wakati waarabu waliowazunguka bado wanachamba kwa kutumia mchanga jangwani hawana uwezo kulima chochote? wewe ni mjinga sana na umelaaniwa. jaribu kuwa na utu walau kidogo basi. mzazi wa Joshua anaenda Israel sio kwa msaada wa serikali yako ya kina makamba na bashe au yeyote, serikali yako masikini imeshindwa kusaidia kuokoa yeyote. Ubalozi wa Israel Kenya ulikuja Arusha na wao ndio wametoa hiyo offer. Ukiangalia ile clip ya Joshua na ile ya Clement wote walikabidhiwa baiskeli na wameuliwa wakiwa na baiskeli walizokuwa wanatumia mashambani. hivi mlipeleka wapi utu ninyi? kwanini mioyo yenu imejaa mashetani na roho mbaya kiasi hicho? kweli unataka kutwist hii issue ionekane wale vijana waliuliwa kwa halali kwa kuwa walikuwa wanajeshi? shida hata kutwist hauwezi kwasababu kichwani empty, unaujua ubwabwa na uuaji tu hakuna elimu wala akili.
walienda kujifunza kilimo, na walitawanywa. vichwa vyenu vimejaa mashetani ndio sababu.wewe sio msemaji wa serikali ya Tanzania.
Kwa hili twataraji serikali haitakaa kimya itatoa ufafanuzi tujuwe wale vijana walikwenda kwa ajili ya nini?
Kama ni kazi za mashambani hatukuambiwa hivyo walipoondoka.Kama ni chuo cha kilimo ilikuwa ni chuo gani ?
Na kama hakuna majibu Faiza atakuwa sahihi kuhoji na hana makosa akishuku kuwa walikwenda kuchukua mafunzo ya kijeshi na kwamba walikamatwa kwenye kambi ndio maana Hamas waliwaona ni adui zao bila kujua utaifa wao wala kuangalia rangi ya ngozi zao.Hamas wanajua ndani ya jeshi la IDF kuna askari wengi wa ngozi za kiafrika ambao wanapambana kuzuia uhuru na heshima zao.
Fanya research yako vizuri Weusi Al ABIDI hawaruhusiwi kuoa Waarabu wa Palestina unalijua hilo?Ubaguzi wa Rangi kwa Wapalestina weusi upo kwenye maneno tu, kama vile ubaguzi wa Rangi Huku Africa, Mweusi anaweza akaitwa Galax (wakimaanisha Chocolate) ama mtu akaambiwa Usikae juani utakua kama (insert jina la mtu mweusi). Ila kwenye System weusi Palestina wapo very respected
Ukipata jibu nitag mkuuNimeon je May 4 , 2019 Joshua Molel aliikua ameshaenda Israel?
Kichwa cha habari kinasema , IDF Training Tanzania soldiers.
Hiki sio kitu kigeni ,miaka ya nyuma tumepeleka wanajeshi wa pale Ngerengere Uchina kujifunza urubani na ufundi wa ndege za jeshi.
Tumepeleka wanajeshi Cuba, Israel, USSR kamandi tofauti tu miaka hiyo hata walinzi wa high profile individuals wanakua trained ndani na nje ya nchi naomba nisiingie ndani zaidi ila jua iko hivyo majeshi yanabadlishana mbinu za kijeshi hata hao Israel wanakuwa trained na US Navy dept na hua inaonyeshwa wazi.
So bado hujanipa concrete justification kwa article hiyo ya May 4 2019 wanajeshi wetu walipoenda kuwa trained mafunzo mbali mbali kama yalivyooyeshwa na hao ukiangalia hakuna picha ya wazi kuonesha uso wa mwanajeshi wetu.
Sasa turudi kwenye mada kuu, Joshua Molel kaingia Israel mwezi September 2023 ,kauwawa October 2023.
Joshua alitokea chuoni na wenzie wapo ni ushahidi tosha alikuwa mwanafunzi na ushahidi upo.
Je unaweza kutupa ushahidi Joshua alikua mwanajeshi kutoka Tanzania kwenda Israel ?
Hii ndio ingempa justification ya yeye kupokelewa na kupewa mafunzo ya kijeshi na sio kutoka kama raia wa kawaida kwenda nchi nyingine na kwenda kuanza kozi ya jeshi mara ya kwanza.
Naomba uweke ushahidi Joshua alikuwa kambi gani ya jeshi kabla hajatoka Tanzania.
Kilimo namna gani na chuo gani?.walienda kujifunza kilimo, na walitawanywa. vichwa vyenu vimejaa mashetani ndio sababu.
Sijawahi kuona bibi kizee mwenye akili za hovyo kama wewe!! Israel imekosa wapiganaji tena wenye weredi kupambana na hao magaidi wanyonya damu wa kiarabu? Hili swali ungemuuliza Samia kwasababu Makamba na Bashe ni watekelezaji wa maagizo ya serikali yake. Udini umewakaba hadi kwenye nafasi ya kupumlia. Mlitaka hao vijana wapelekwe kujifunza kilimo Dubai au Oman kwa wajomba zenu?Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.
Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa atakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.
Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?
Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.
Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepekwa pia kufundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wwengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel
Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii:
View attachment 2847132
Huna akili wewe bado akili yako haijakuwa, kwani hakuna wanaofundishwa mafunzo ya jeshi huko ?Hao madogo waliokufa ni walienda internship israel wakitokea SUA tafuta majina yao kwenye website ya SUA utawaona acha ukichaa na utahira wa kuzusha habari za kusadikika kwa vile dini yenu imeguswa kuwa na utu dhidi ya mtanzania mwenzako
Hata mimi nilikuwa nashangaa. Inawezekanaje.Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....
Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....
Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
We ni kati ya wanadamu wapamnavu sana.Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....
Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....
Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Wayahudi walizaa na waethiopia kuna kizazi chao huku africaJeshi la israel na taasisi zingine kama immigration,polisi n.k kuna waafrika wengi tu hasa waethipia na waeritrea,na si kama eti wanawachukua chukua tu kama unavyoaminisha watu hapa,uwa wanakua raia wa israel kabisa
Waliowateka ni waisrael watupu? Gaidi hachagui wa kuua. Ulizia yaliyojiri westgate pale NairobiNilikua naongea na jamaa wa middle east akasema, Hamas hauwi raia wa kigeni tena akashangaa, akasema lazina kuna kitu amekijua juu ya huyo, HAIWEZEKANA