Makamba: Sisi tumeamua kuwa wakweli, bwawa la Nyerere linaisha Juni 2024. Adai tarehe ya mwanzo isingewezekana kwa namna yoyote

Kuna wenye dola zaidi ya JK, Kinana na Rostam?
 
Haka kajamaa ni zero brain,bado kako vitani na awamu ya tano.

Kama "wao" wametumia mwaka mmoja kujenga 37%, ni nini kinafanya hiyo 26% iliyobaki kuchukua miaka miwili hadi 2024?

Tuki-cross multiplication hapo hiyo spidi yao bwawa lingeisha August 2023.

SGR Dar-Moro nayo nayo wanahamisha magoli tu kuhusu lini itaanza kazi.
 
Yaani huyu jamaa bwana. Anapayuka tu.
 
February huo ukweli umeupata wapi? Kila siku tunasikia miradi imekamilika Kwa asilimia 80 Leo unatupeleka 2024 ili muendelee kupiga zenu! Yetu macho.
 
Nimesoma hapa nikaona ujinga mtupu, ....
Yaani hawa jamaa kuna wakati wanawatizama watz na kuwaona kama mazuzu na hizi fiksi zao.

Huyu kijana vile tu bila babake tunajua asingekuwa hapo alipo so anamsengenya Magufuri sababu hayupo ila sisi tulio hai we know everything.
 
Kwasababu, Mmmnh! Watanzania wenzangu hebu nisaidieni kuelewa kitu hapa!! Mwaka 2021 ilifikikia 37% sasa tupo 2022 74%. Then tunaambiwa mpaka 2024 ndiyo likamilike!! Sasa hii iko vp ndugu wadau? Kimahesabu imebaki 26% kama nipo sahihi? Swali moja kubwa na kidogo linashangaza kwanini ndani ya mwaka mmoja kazi ifanyike kwa 37% na 26% iliyobakia igarimu muda wa miaka miwili?????() [emoji848] [emoji780]️

Ukweli ni kuwa mwenye bwawa angekuwepo saivi lishawashwa ila Hawa wajanja wanaamua watupige kimya kimya tu!
 
Flyover hizi zilizoasisiwa na kikwete au zingine?
 
Ni nani huyo kwani alikuwa muongo muongo?πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Extremely useless....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…