Makamba: Sisi tumeamua kuwa wakweli, bwawa la Nyerere linaisha Juni 2024. Adai tarehe ya mwanzo isingewezekana kwa namna yoyote

Makamba: Sisi tumeamua kuwa wakweli, bwawa la Nyerere linaisha Juni 2024. Adai tarehe ya mwanzo isingewezekana kwa namna yoyote

Ukweli pia unasema kutegemea chanzo kimoja cha nishati ya umeme unaotegemea maji ni hatari kwa usalama wa nchi, yaani kukitojea ukame nchi itakosa nishati nafuu kuendesha shughuli za uchumi wake.

Back
Top Bottom