saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu.
Sasa juzi Januari Makamba akamdanganya tena Mh Rais kwamba 2021 wakati anaingia mradi ulikuwa kwa asilimia 37, Mwigulu naye akihojiwa na Clouds naye akasema wakati Rais anaingia mradi ulikuwa asilimia 12.
Sasa kama Januari akiwa kwenye Umma anamdanganya kwa kiwango hiki Mh Rais swali je wanapokuwa kwenye vikao vya ndani kama Baraza la Mawaziri au vikao vya wao wawili anamdanganya mambo mangapi juu ya uendeshaji wa nchi yetu.
Pascal Mayalla mfuatilie na mkalitazame na hili.