changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Lomalisa hapanaTukisema tuache unazi; hata Gael Bigirimana na Lomalisa, nao hawana mchango mkubwa kivile kwenye timu.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lomalisa hapanaTukisema tuache unazi; hata Gael Bigirimana na Lomalisa, nao hawana mchango mkubwa kivile kwenye timu.
Ila ukweli ndiyo huo! Huwezi kumlinganisha na Juma Shaban ambaye aliposajiliwa tu, aliingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.
Muondoe Kibu kwenye hii orodha.Kwani Kibu, Boko, Mzamiru, Nyoni n.k wapo Yanga?
Tunalalamikia Wafanyakazi wa kigeni Wenye taaluma Sawa na Watanzania kuajiriwa kwenye nafasi ambazo zingeweza kushikwa na wazawa tunasahau kuwalalamikia Wachezaji wa kigeni Wenye viwango vibovu kuliko Wazawa. Kisinda Vs Farid, Akpan Vs Mkude.Tz tusikubali kuwa dampo la wachezaji,hasa Simba, Yanga na Azam. Okwa, Dejan, Akpan ni hasara kwa timu
Makambo ana akili ya mpira kuliko yuleee... Ila kwa mpira wenu hamtomwelewa.Mimi siyo wa kulalamika but nimefatilia uchezaji wa MAKAMBO na KISINDA kwa msimu huu hakuna kitu wanaisaidia timu bora wapelekwe hata Simba SC kwa mkopo.
Ni kweli sisi ni unbeaten,Tunaongoza ligi,tunaongoza kuwa na furaha,tuna jezi nzuri Africa.Lakini nataka kujua hawa watu wana mchango gani kwa timu Mwenye statistics zao za msimu huu alete hapa.
Timu yetu ina utaratibu wa kutoa misaada kwa wenye uhitaji basi MISHAHARA wanayolipwa hawa watu ingepelekwa huko tungepata faida kubwa sana.Watu wanacheza kama hawalipwi (no fighting spirit)Na benchi la ufundi wanawaangalia tu?.
Halafu nyie mnaosema ile siyo PENALTY mlitaka TULIKATAE? Wakati tunalalamika ubovu wa Marefa NBC PREMIER LEAGUE si mlituita MALALAMIKO FC mara kila MTU ASHINDE MECHI ZAKE(Badala ya kuungana na sisi)?.
Mnasema ndo maana kimataifa hatutoboi,tusipotoboa ndo tunakuwa BEATEN?
Kama nyie mnapata raha KIMATAIFA sisi tumechagua kupata raha hapa Nchini tusichaguliane pls.
Kihimbwa kanituma salamu.
Aina ya mpira wa teamMbna hyo akili haionekani?
Kwanza mnalalamikia marefa msipobebwa wala hamna lolote.Mimi siyo wa kulalamika but nimefatilia uchezaji wa MAKAMBO na KISINDA kwa msimu huu hakuna kitu wanaisaidia timu bora wapelekwe hata Simba SC kwa mkopo.
Ni kweli sisi ni unbeaten,Tunaongoza ligi,tunaongoza kuwa na furaha,tuna jezi nzuri Africa.Lakini nataka kujua hawa watu wana mchango gani kwa timu Mwenye statistics zao za msimu huu alete hapa.
Timu yetu ina utaratibu wa kutoa misaada kwa wenye uhitaji basi MISHAHARA wanayolipwa hawa watu ingepelekwa huko tungepata faida kubwa sana.Watu wanacheza kama hawalipwi (no fighting spirit)Na benchi la ufundi wanawaangalia tu?.
Halafu nyie mnaosema ile siyo PENALTY mlitaka TULIKATAE? Wakati tunalalamika ubovu wa Marefa NBC PREMIER LEAGUE si mlituita MALALAMIKO FC mara kila MTU ASHINDE MECHI ZAKE(Badala ya kuungana na sisi)?.
Mnasema ndo maana kimataifa hatutoboi,tusipotoboa ndo tunakuwa BEATEN?
Kama nyie mnapata raha KIMATAIFA sisi tumechagua kupata raha hapa Nchini tusichaguliane pls.
Kihimbwa kanituma salamu.
Mzamiru huyu huyu? Ambae ukichanganya viungo wote wa uto aziza ki akiwa kifungashioKwani Kibu, Boko, Mzamiru, Nyoni n.k wapo Yanga?
Mzamiru kawa bora leo hii? Kasemangwa sans huyu na mashabiki wa Simba kuwa atafanya kazi kubwa lakini maamuzi yake mwishoni ni ovyo. Pasi zake hazina macho, back pass nyingi ila leo ndio anaimbwa tena.Mzamiru huyu huyu? Ambae ukichanganya viungo wote wa uto aziza ki akiwa kifungashio
Kwanza mnalalamikia marefa msipobebwa wala hamna lolote.
Pia kuwa unbeaten ya mchongo mko sawa tu kwa kuwa mmedanganywa mnawachezaji wanajua.
Unalalamikia Kisinda,si aliletwa kupima umri wa Onyango?
Si mmemsajili kwa ajili ya Simba?Mbona mnakuwa na tabia ya kujuzima data kisha mnaongea kama manyani?
Mzamiru chini ya mgunda ameimarika sanaMzamiru kawa bora leo hii? Kasemangwa sans huyu na mashabiki wa Simba kuwa atafanya kazi kubwa lakini maamuzi yake mwishoni ni ovyo. Pasi zake hazina macho, back pass nyingi ila leo ndio anaimbwa tena.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app