Makambo na Kisinda wanasubiri nini Yanga?

Makambo na Kisinda wanasubiri nini Yanga?

Jamani kwani si tumekubaliana kuwa kisinda karudi kumkimbiza babu onyango au??[emoji23][emoji23][emoji23]mshamchoka sahii tuu
 
Tukisema tuache unazi; hata Gael Bigirimana na Lomalisa, nao hawana mchango mkubwa kivile kwenye timu.

Gael Bigirimana yule former player wa Nyukasto aliyewahi kupambana na viungo kama kina Arteta, Lampard, Giggs na kina Silva leo hana mchango kwenye timu?
 
Yaani mchezaji wa timu ya ndondo (utopolo) Apelekwe kucheza kwa mkopo timu inayocheza makundi CAFCL na timu ya 13 kwa ubora wa vilabu hapa Afrika ?
Utopolo vichwani mwenu mmejaza vinyesi vya Arusha


Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Ni sahihi sijui mtu aliyemtoa yule mbukinafaso na kumleta Kisinda au kumuacha Makambo sijui aliwaza nini?
 
Kiukweli tunatakiwa tufanye marekebisho makubwa kwenye timu yetu.

Wachezaji wote ambao tumewapa 'game time' na wameshindwa ku prove inabidi tuwaache waende.

Mchezaji kama kisinda ilikua haina haja ya kumrudisha maana alikua hana kitu kipya cha kutu offer.

Makambo naye ameshindwa ku prove ile quality yake ya 3yrs ago na yeye aende pia.

Jesus Moloko sometimes naye anazingua ila number zina mbeba kidogo kuliko mawinga wetu wote.

Bigirimana hayupo aggressive sana na hivi viwanja vya kwetu ndio kabisa.
 
Eti wanasubiri nini! Hao nikwambie wanasubiri waipeleke timu katika makundi ya shirikisho na utambue ndio sababu kubwa ya kuwa sajili wakishindwa ndio umwambie huyo rais wako awatimue wakacheze ndanda Fc
 
Makambo na Kisinda wapo wapo sana kama hutaki hamia upande wa pili.
 
Ni sahihi sijui mtu aliyemtoa yule mbukinafaso na kumleta Kisinda au kumuacha Makambo sijui aliwaza nini?
Walimtoa Mzambia wahuni wale walimleta mtu hata kutuliza mpira hajui yeye ni kukimbia tuu mwanzo mwisho...wale wakina Nkane na Ambundo wanakaa benchi kwa mtu garasa na leo akianza Kisinda kocha atakua amefanya kosa tena
 
Back
Top Bottom