Kiukweli tunatakiwa tufanye marekebisho makubwa kwenye timu yetu.
Wachezaji wote ambao tumewapa 'game time' na wameshindwa ku prove inabidi tuwaache waende.
Mchezaji kama kisinda ilikua haina haja ya kumrudisha maana alikua hana kitu kipya cha kutu offer.
Makambo naye ameshindwa ku prove ile quality yake ya 3yrs ago na yeye aende pia.
Jesus Moloko sometimes naye anazingua ila number zina mbeba kidogo kuliko mawinga wetu wote.
Bigirimana hayupo aggressive sana na hivi viwanja vya kwetu ndio kabisa.