Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 General Election
Mkuu kama chibukati mwenyewe alimuondolea Ruto kura 10000 zilizkuwa zimeongezwa katika kituo kimoja tu,ni ushahidi pasina shaka kuna kura nyingi sana ameiba.

Pole yake Mzee Odinga amisha andikiwa fungu LA kukosa,miaka yote anaibiwa kura-hamna mgombea aliyewahi kumshinda kwa kura lakini ndio hivyo hana bahati.
 
Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
Hata kama uchaguzi wao una madudu,lakini huwezi kulinganisha na ujambazi unaofanywa na kikundi Cha ccm kinachoishi Dar.

Huku kwetu hata cm huruusiwi kuingia NAyo chumba Cha kuhesabia kura,matokeo ya uchaguzi wa uraisi bongo hayapingwi mahakamani,yakishatajwa ni msaafu huo,mkuu watume Kenya hachaguliwi na Raisi,huku kwetu Raisi anaweka chawa wake,

Ushenzi wa kupita bila kupingwa,Dunia nzima upo bongo tu!

Mechi ya timu mbili,lakini timu mmoja ndio inachagua waamuzi na lazima wawe wanachama wake!

Polisi ni ya ccm,
Jeshi ni la ccm,
Tume ya uchaguzi ni ya ccm,
Mahakama ni za ccm,

Ndio maana,zelote stephen baada ya kustaafu U RPC,sasa hv ni mwenyekiti wa ccm huko kwao!

Yapo Mengi sana,kama Kenya uchaguzi wao ni kinyesi,wetu ni uharo Tena ule wa mgonjwa wa ukimwi na typhoid,
 
Mkuu kama chibukati mwenyewe alimuondolea Ruto kura 10000 zilizkuwa zimeongezwa katika kituo kimoja tu,ni ushahidi pasina shaka kuna kura nyingi sana ameiba...
Kwenye hotuba yake leo amesema haitakuwa kusamehe vilevile safari hii.
 
Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa

Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu

Wanapeleka ushahidi mahakamani

Source Citizen tv
Ruto kapitia humo humo kwenye Kura za Nyongeza. Rushwa Kenya Ni kama maji. Hao Makamishna wapewe ulinzi zaidi vinginevyo tutasikia 4 BODIES FOUND DEAD
 
Hao Wakenya na tume yao huru wameibiana tu. Inakuwaje hakuna kura zilizoharibika??

Yaani watu wote million 14 kusiwe na kura zilizoharibika??
Wanachofanya wakenya ni ile ya kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa,au unapewa asali kumbe ndani yake kuna sumu-unakula unasikia tamu kumbe inakuua taratibu.

Utofauti wa wao na sisi ndio hivyo huku kwetu Tume wabakupiga moja kwa moja,Kenya unapigwa kisomi mwisho wa siku wote mumeibiwa.
 
Pointi yake ni kwamba utaratibu umekiukwa, sasa awe na matokeo yapi tena?
Wakati wa BBI case, Tinga’s lawyers strongly argued that the quorum of the IEBC is three Commissioners.
.
Sasa The High Court and the Court of Appeal disagreed.
.
Na Undeterred, Tinga’s lawyers took the argument to the Supreme Court.
.
Ile Supreme Court agreed with them. The three specific Commissioners that Tinga’s lawyers claimed constituted the quorum of the IEBC declared William Ruto the presidential election winner [emoji1787][emoji1787]
.
Sasa hapa Kuna merits or demerits of the claims by the four Handshake IEBC Commissioners.
.
Sasa Hapa it is about the dangers of making disingenuous legal arguments that are informed by nothing other than the convenience of the moment (at that time, saving the BBI).
.
Ujue It will be interesting to see Tinga’s lawyers tell the Supreme Court to overturn the presidential election result because it was disowned by 4 IEBC Commissioners when they told the Supreme Court, barely a year ago, that the quorum of the IEBC is three Commissioners.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Hata Hivyo Do not be surprised if the chickens also come home to roost on the issue of the basic structure of the Constitution.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe hukuelewa kitu mapoyoyo kama haya yanayodanganya watu yapo mengi sana kitaa.
 
Wakati wa BBI case, Tinga’s lawyers strongly argued that the quorum of the IEBC is three Commissioners.
.
Sasa The High Court and the Court of Appeal disagreed.
...
Mbona argument ya quorum ya IEBC commissioners naiona kama ni hoja ya mbali sana? Vipi kuhusu jambo lenyewe kwamba mfumo data ulikudukuliwa? Kwamba kuna udanganyifu?

Labda kama walikumbuka kupitisha ufagio wa chuma na kuosha kwa something like conc. H2SO4.
 
Labda kafanya typing error, mkuu. Emu mpeni subra! Ila sijui unamkosoa kwenye kitu gani hasa, because calculations ziko sawa. Huenda kosa lake ni kuchukua 0.01% badala ya 1% (inayoleta 140,000).
Duuu aibu 1% = 0.01.
Kwa hiyo 0.01 ya 14,000,000 = 140,000.
Kumbuka hapo 100 hatuzungumziii asilimia tena tunazungumzi kitu kizima.
Ni ngumu kuelewa sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…