yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Kwa maana hizo 142,000 wakimgawia Odinga bado Ruto ataendelea kuongoza142,000 ni kura nyingi sababu Ruto na Rais wanatofautiana kura 290,000 hv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana hizo 142,000 wakimgawia Odinga bado Ruto ataendelea kuongoza142,000 ni kura nyingi sababu Ruto na Rais wanatofautiana kura 290,000 hv
0.1% ya 14M = 14,000Ni 0.01% na sio 0.1%
Hoja ni kwamba, kama kuna kosa hili moja, yamo mengine mangapi humo kwenye system iliyosifiwa sana hadi kule Australia?Kwa maana hizo 142,000 wakimgawia Odinga bado Ruto ataendelea kuongoza
Hata kama uchaguzi wao una madudu,lakini huwezi kulinganisha na ujambazi unaofanywa na kikundi Cha ccm kinachoishi Dar.Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
Kwenye hotuba yake leo amesema haitakuwa kusamehe vilevile safari hii.Mkuu kama chibukati mwenyewe alimuondolea Ruto kura 10000 zilizkuwa zimeongezwa katika kituo kimoja tu,ni ushahidi pasina shaka kuna kura nyingi sana ameiba...
Ruto atakuwa na 49% na Uchaguzi utarudiwaKwa maana hizo 142,000 wakimgawia Odinga bado Ruto ataendelea kuongoza
Ruto kapitia humo humo kwenye Kura za Nyongeza. Rushwa Kenya Ni kama maji. Hao Makamishna wapewe ulinzi zaidi vinginevyo tutasikia 4 BODIES FOUND DEADMakamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa
Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu
Wanapeleka ushahidi mahakamani
Source Citizen tv
Punguza ukali wa maneno, mkuu. Hapa natumia simu ya mtu 🙂Hata kama uchaguzi wao una madudu,lakini huwezi kulinganisha na ujambazi unaofanywa na kikundi Cha ccm kinachoishi Dar...
Kenya hii Katiba hawaiweziRuto atakuwa na 49% na Uchaguzi utarudiwa
0.01% of 14M = 1,400sio 100.1 % bali 100.01% wacha kupotosha!
Wanachofanya wakenya ni ile ya kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa,au unapewa asali kumbe ndani yake kuna sumu-unakula unasikia tamu kumbe inakuua taratibu.Hao Wakenya na tume yao huru wameibiana tu. Inakuwaje hakuna kura zilizoharibika??
Yaani watu wote million 14 kusiwe na kura zilizoharibika??
Wakati wa BBI case, Tinga’s lawyers strongly argued that the quorum of the IEBC is three Commissioners.Pointi yake ni kwamba utaratibu umekiukwa, sasa awe na matokeo yapi tena?
Kumbe hukuelewa kitu mapoyoyo kama haya yanayodanganya watu yapo mengi sana kitaa.wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
hesabu sahii lazima iwe hivi0.01% of 14M = 1,400
Mbona argument ya quorum ya IEBC commissioners naiona kama ni hoja ya mbali sana? Vipi kuhusu jambo lenyewe kwamba mfumo data ulikudukuliwa? Kwamba kuna udanganyifu?Wakati wa BBI case, Tinga’s lawyers strongly argued that the quorum of the IEBC is three Commissioners.
.
Sasa The High Court and the Court of Appeal disagreed.
...
Unazidi kuonyesha UkilazaMwalimu wako wa hesabu nadhani alipata tabu sana
Duuu aibu 1% = 0.01.Labda kafanya typing error, mkuu. Emu mpeni subra! Ila sijui unamkosoa kwenye kitu gani hasa, because calculations ziko sawa. Huenda kosa lake ni kuchukua 0.01% badala ya 1% (inayoleta 140,000).