Acha upumbavu umeambiwa ni 0.01% na sio 0.1%0.1% ya 14M = 14,000
Hata akili huna. Ukiongeza hizo manake ngoma droo Ruto anakuwa ameshindwa kufikisha 50+1Kwa maana hizo 142,000 wakimgawia Odinga bado Ruto ataendelea kuongoza
Ebo. Sasa haya malalamiko ndiyo unayafanyia conclusion? Kwa ujumla uchaguzi ulienda vizuri sana. Na bado kuna njia ya mahakama kuangalia kama kila kitu kilikuwa sahihi. Hebu niambie Tanzania mwaka 2020 ilikuwaje?Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
The same thing, mkuu Geza Ulole . Jibu hapo ni 1,400.hesabu sahii lazima iwe hivi
14 m = 100.01%
x = 0.01%
Hii nayo ni hoja mfu, waliendaje kuhakiki matokeo ambayo wanajua yamedukuliwa,Mbona argument ya quorum ya IEBC commissioners naiona kama ni hoja ya mbali sana? Vipi kuhusu jambo lenyewe kwamba mfumo data ulikudukuliwa? Kwamba kuna udanganyifu?
Labda kama walikumbuka kupitisha ufagio wa chuma na kuosha kwa something like conc. H2SO4.
Du majaji wa Kenya ni majaji kweli kweli. Siyo hawa wa Tanzania wanapata ujaji kwa sababu eti wameandika hukumu kiswahili. Ni aibu majaji wetu wanakubali kutoa maamuzi ya kijinga...kesi ikienda mahakamani Ccm wataumbuka zaidi kwa jinsi mahakama kuu ya kenya ilivyo huru ukiilinganisha na ya tanzania.
Cc Tindo
Zimetoka wap izo 14KRUTO — 50.4898850892213%
RAILA - 48.84905938756044%
WAJACKOYAH - 0.436001423201405%
MWAURE - 0.225054100016837%
TOTAL = 99.999999999999977%
BTW 0.01 of total casted vote is equivalent to 1,400, maafisa wamechemka. Hesabu haitaki siasa
Fuatilia kwa makini hotuba ya Juliana, mkuu. Amesema hata physical forms zenyewe zime-forg-iwa, tena kwa mwandiko unaofanana, ndipo zikabandikwa kwenye system.Hii nayo ni hoja mfu, waliendaje kuhakiki matokeo ambayo wanajua yamedukuliwa,
Uhakiki unainvolve kufanya comparison ya physical form 34A zilizorudishwa na returning officer na zilizoko mtandaoni(mnazosema zimedukuliwa)... So far before zoezi la kutangaza walishakuwa wamehakiki form 34A na kufikia hatua ya kuhakiki form 34B 261 na kuziafiki vzuri tu tena na matokeo kutangazwa na tume pale BOMAS, the last 30 tu ndo hazikutangazwa though zilihakikiwa.... Hili la udukuzi kama ingekuwa kweli wangesusia hata zoezi la uhakiki wa matokeo
Ruto na raila142,000 ni kura nyingi sababu Ruto na Rais wanatofautiana kura 290,000 hv
Hi 0.1 umetolea wapi wewe.?Wewe ndiye hujui hisabati.
0.1% ya 14M ni ngapi?
Wewe rudi shuleMwalimu wako wa hesabu nadhani alipata tabu sana
14K umeitoa wapi mkuu?? Kidato cha pili ulijifunza hesabu za makadirio (approximations)?Zimetoka wap izo 14K
Zoezi la uhakiki limetumia zaidi ya siku 3+, since day 1 wameshindwa kupinga zoezi la uhakiki lisiendelee... Aingii hata akiliniFuatilia kwa makini hotuba ya Juliana, mkuu. Amesema hata physical forms zenyewe zime-forg-iwa, tena kwa mwandiko unaofanana, ndipo zikabandikwa kwenye system.
It means hata wakilinganisha physical forms na digital data, zinafanana tarakimu na kila kitu, lakini zina uwalakini kwamba sizo zilizotoka kwenye vituo vya kupigia kura. Hiyo ni hoja moja tu. Amezungumzia hoja 7 muhimu.
Uchaguzi huu umethibitisha kwamba somo la hisabati lipewe hadhi yake. Ikiwezekana bajeti yote ya wizara ya elimu ielekezwe kwenye kieneo hiki.Ndugu na jamaa zangu waliokwenda kusomea kenya, embu mtuambie ni hesabu gani mlikua mkifundishwa huko.?
Hii 0.01% ya 14M to inarudije 140000.?
Hilo sio kosaHoja ni kwamba, kama kuna kosa hili moja, yamo mengine mangapi humo kwenye system iliyosifiwa sana hadi kule Australia?
Sasa huyu chibukati si ni mkenya au ni raia wa nchi nyingineMakamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa
Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu
Wanapeleka ushahidi mahakamani
Source Citizen tv
Wewe panzi unajua maana ya 50% + 1.?Hata akili huna. Ukiongeza hizo manake ngoma droo Ruto anakuwa ameshindwa kufikisha 50+1
Huna akili bwigila wwWewe panzi unajua maana ya 50% + 1.?