Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 General Election
Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
Ebo. Sasa haya malalamiko ndiyo unayafanyia conclusion? Kwa ujumla uchaguzi ulienda vizuri sana. Na bado kuna njia ya mahakama kuangalia kama kila kitu kilikuwa sahihi. Hebu niambie Tanzania mwaka 2020 ilikuwaje?
 
Mbona argument ya quorum ya IEBC commissioners naiona kama ni hoja ya mbali sana? Vipi kuhusu jambo lenyewe kwamba mfumo data ulikudukuliwa? Kwamba kuna udanganyifu?

Labda kama walikumbuka kupitisha ufagio wa chuma na kuosha kwa something like conc. H2SO4.
Hii nayo ni hoja mfu, waliendaje kuhakiki matokeo ambayo wanajua yamedukuliwa,
Uhakiki unainvolve kufanya comparison ya physical form 34A zilizorudishwa na returning officer na zilizoko mtandaoni(mnazosema zimedukuliwa)... So far before zoezi la kutangaza walishakuwa wamehakiki form 34A na kufikia hatua ya kuhakiki form 34B 261 na kuziafiki vzuri tu tena na matokeo kutangazwa na tume pale BOMAS, the last 30 tu ndo hazikutangazwa though zilihakikiwa.... Hili la udukuzi kama ingekuwa kweli wangesusia hata zoezi la uhakiki wa matokeo
 
..kesi ikienda mahakamani Ccm wataumbuka zaidi kwa jinsi mahakama kuu ya kenya ilivyo huru ukiilinganisha na ya tanzania.

Cc Tindo
Du majaji wa Kenya ni majaji kweli kweli. Siyo hawa wa Tanzania wanapata ujaji kwa sababu eti wameandika hukumu kiswahili. Ni aibu majaji wetu wanakubali kutoa maamuzi ya kijinga.
 
RUTO — 50.4898850892213%
RAILA - 48.84905938756044%
WAJACKOYAH - 0.436001423201405%
MWAURE - 0.225054100016837%

TOTAL = 99.999999999999977%

BTW 0.01 of total casted vote is equivalent to 1,400, maafisa wamechemka. Hesabu haitaki siasa
Zimetoka wap izo 14K
 
Ndugu na jamaa zangu waliokwenda kusomea kenya, embu mtuambie ni hesabu gani mlikua mkifundishwa huko.?

Hii 0.01% ya 14M to inarudije 140000.?
 
Hii nayo ni hoja mfu, waliendaje kuhakiki matokeo ambayo wanajua yamedukuliwa,
Uhakiki unainvolve kufanya comparison ya physical form 34A zilizorudishwa na returning officer na zilizoko mtandaoni(mnazosema zimedukuliwa)... So far before zoezi la kutangaza walishakuwa wamehakiki form 34A na kufikia hatua ya kuhakiki form 34B 261 na kuziafiki vzuri tu tena na matokeo kutangazwa na tume pale BOMAS, the last 30 tu ndo hazikutangazwa though zilihakikiwa.... Hili la udukuzi kama ingekuwa kweli wangesusia hata zoezi la uhakiki wa matokeo
Fuatilia kwa makini hotuba ya Juliana, mkuu. Amesema hata physical forms zenyewe zime-forg-iwa, tena kwa mwandiko unaofanana, ndipo zikabandikwa kwenye system.

It means hata wakilinganisha physical forms na digital data, zinafanana tarakimu na kila kitu, lakini zina uwalakini kwamba sizo zilizotoka kwenye vituo vya kupigia kura. Hiyo ni hoja moja tu. Amezungumzia hoja 7 muhimu.
 
Zoezi la uhakiki limetumia zaidi ya siku 3+, since day 1 wameshindwa kupinga zoezi la uhakiki lisiendelee... Aingii hata akilini
 
Ndugu na jamaa zangu waliokwenda kusomea kenya, embu mtuambie ni hesabu gani mlikua mkifundishwa huko.?

Hii 0.01% ya 14M to inarudije 140000.?
Uchaguzi huu umethibitisha kwamba somo la hisabati lipewe hadhi yake. Ikiwezekana bajeti yote ya wizara ya elimu ielekezwe kwenye kieneo hiki.
 
Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa

Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu

Wanapeleka ushahidi mahakamani

Source Citizen tv
Sasa huyu chibukati si ni mkenya au ni raia wa nchi nyingine
 
Back
Top Bottom