Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
KAMA WAMESTAAFU MAANA YAKE HAWATAKIWI NA SERIKALI NA WAMEKWISHA EXPIRE WASUBIRI KUPUMZIKA KWA AMANI.Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Akina mambosasa wanaviiimba kweli sasaMnoooo . Watulie ni wakati wa kuisogelea foleni ya kuhesabiwa.
Hapo ndio napompendea Mungu, fanya ubabe , dhulma na uonevu lakini muda utafika utasinyaa na kuzeeka nguvu zitaisha. Vyeo na mamlaka vitakaliwa na wengine wale waliokuwa wanyonge na watu wa kawaida ambao walikuaa hawaruhusiwi na ma-ps kumfikia mwenye mamlaka ndio watarudi kuwa rafiki na jirani wa kweli. Wenye mamlaka wa wakati huo huja msibani kusaini kitabu na pole ya vijipesa na kuwahi kuondoka wakisema wanamajukumu mengi na misiba huachiwa wasio na lolote na ndio wanamsitiri marehemu aliyekuwa na kibri kwa hao wanyonge.
Hili ni fumbo kubwa sana la Imani.
Watulie hao makamishna
Tangu lini mhuni akawa mshauri?!Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hivi yule Mbabe Kamanda Kova Yuko wapi!?Akina mambosasa wanaviiimba kweli sasa
Ngoja wastaafu nobody will give a damn about them
Watasandaaa!!
Wauaji kama Mahita ndiyo watumike kama washauri? Kweli nchi imeishiwa busara hiiMakamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mbona kama wamechanganyikiwa vile. Kutangaza utalii? Kutangaza utalii sio lelemama na unahitaji pesa pamoja na kufahamu kutumia technology ya hali ya juu hivi sasa. Je, wanaweza kufanya advert pamoja na matangazo kwenye prime TV stations pamoja na radio around the world? Sio kazi rahisi ingawa unaweza kufanikisha hilo kama una connection na nchi ambazo unafanya target. Can they do that job? What about our embassies? They need to be serious and stop the bandwagon of trying to be seen that they matter while during their time they never served the people.
Wanawashwawashwa haoMakamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Atakuwa kashaanza kuchakaa huko kati
Tena nawashauri walime Korosho, Magu atanunua zote kupitia Jeshi.Naungana na wachangiaji waliopita kua ndugu ma kamishna mliostaafu kama mnapita hapa basi mjue kwamba hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuja kuomba ushauri kutoka kwenu
Kama njaa imewapiga tafuteni mashamba huko vijijini kwenu mlime.