Makamishna wastaafu wa Polisi wataka jamii iwatumie kwa ushauri, pia wako tayari kutangaza utalii

Makamishna wastaafu wa Polisi wataka jamii iwatumie kwa ushauri, pia wako tayari kutangaza utalii

Hahahaaaa....... eti connection!
Hao wazee wanajuana na watu wengi.. hiyo ndio fursa pekee naitaka kwao.. hao leo hata kama wakiamua kukufanyia mtima nyongo uende mahabusu wanaweza.. maana bado wana mapandjkizi yao huko 😃😃.. CP sio mtu mdogo asee
 
hadi jamii iwakumbuke lazima muwe na historia nzuri ya utoaji huduma mjue hilo.
Wengi walikuwa wababe, na haambiliki hivyo jamii inaweza kutowakubali.
Kumbukeni mbegu mliyopanda jana ndio matunda ya leo! hebu geukeni mungalie mlikotoka!
 
Kuna mambo ya kustaajabisha. Yaani Polisi hawa wa Tanzania, mtu mstaarabu kabisa, unaweza kuwaomba ushauri?

Si ajabu baada ya miaka 5, na Jiwe naye akasema kuwa, milango ipo wazi kwa wanaotaka ushauri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.

Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.

Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.

Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Wasubir uchaguzi ndani ya Ccm wagombee kama alivyofanya zelote wa Arusha
 
Wakaombe walishauri kundi la watu wasiojulikana maana hao ndio wanahitaji ushauri wa kidhalimu. Jamii haihitaji ushauri wao. Huyo anayesema atoe ushauri wa utalii, hakuna ushauri wa utalii unatolewa na wazee.
Hao wazee wakae kwa kutulia dawa iwaingie.
Nywila imefunguka ,wataongea yote
 
Makamishina waastafu wana ushauri gani kwa jamii ?.Hao ni kundi ambalo lilikuwa linatumia madaraka kuinyanyasa .
 
Back
Top Bottom