Mbona kama wamechanganyikiwa vile. Kutangaza utalii? Kutangaza utalii sio lelemama na unahitaji pesa pamoja na kufahamu kutumia technology ya hali ya juu hivi sasa. Je, wanaweza kufanya advert pamoja na matangazo kwenye prime TV stations pamoja na radio around the world?
Sio kazi rahisi ingawa unaweza kufanikisha hilo kama una connection na nchi ambazo unafanya target. Can they do that job? What about our embassies? They need to be serious and stop the bandwagon of trying to be seen that they matter while during their time they never served the people.