East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Hao wazee wanajuana na watu wengi.. hiyo ndio fursa pekee naitaka kwao.. hao leo hata kama wakiamua kukufanyia mtima nyongo uende mahabusu wanaweza.. maana bado wana mapandjkizi yao huko 😃😃.. CP sio mtu mdogo aseeHahahaaaa....... eti connection!