Hao wazee wanajuana na watu wengi.. hiyo ndio fursa pekee naitaka kwao.. hao leo hata kama wakiamua kukufanyia mtima nyongo uende mahabusu wanaweza.. maana bado wana mapandjkizi yao huko ππ.. CP sio mtu mdogo aseeHahahaaaa....... eti connection!
Kukataliwa Kubaya, Waacheni WahangaikeKabla yao sisi jamii tulikuwa tunashauriwa na nani?
Why wasingetuita wakatushauri wakiwa mamlakani?
Unakumbuka ilikuwa 90 na ngapi? Nautafuta ule mwingine unaitwa "Zumbukuku"Kukataliwa Kubaya, Waacheni Wahangaike
Hii Taarabu Aliimba Ally Star
Sio wote mkuu! japo wengi ni hivyo na kumbuka vyeti feki halikuwahusu hawa walinzi wa raia na mali zaoPolice yeyote ninaemuona huwa akili inaniambia uyu form four hakufanya vizuri.
Wasubir uchaguzi ndani ya Ccm wagombee kama alivyofanya zelote wa ArushaMakamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hao wazee wakae kwa kutulia dawa iwaingie.Wakaombe walishauri kundi la watu wasiojulikana maana hao ndio wanahitaji ushauri wa kidhalimu. Jamii haihitaji ushauri wao. Huyo anayesema atoe ushauri wa utalii, hakuna ushauri wa utalii unatolewa na wazee.