Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 )
AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 )
Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 )
Windows 11 - $139.00 full package (Tshs 340,000 )
FL Studio - $449 full package ( Tshs 1,100,000 )

Sikuhizi mambo yanazidi kuwa magumu, makampuni mengi hayauzi tena full package moja kwa moja, wamehamia mfumo wa vifurushi vya mwaka au mwezi.

Babu yangu alisema: Kila kitu ambacho mwanadamu amefunga, mwanadamu anaweza kukifungua.

Ukweli ni kwamba bila hawa watu nusu ya watu duniani tungekuwa hatuna ujuzi wowote kwenye computer,

hapa Afrika hali ingekuwa mbaya sana, watu wengi hawawezi kununua hata kiatu cha elf 30 mtumbani, mtu huyu atawezaje kutumia adobe, microsoft word official ?

Mwanafunzi wa chuoni anahitaji kuandaa asignments kwa microsoft word na excel, atawezaje kuinunua wakati laptop yake ya laki na nusu ?

Watu wengi hujifunzia ujuzi wa software nyingi kupitia zilizochakachuliwa, baada ya hapo wakianza kupata pesa ndio huanza kulipia official version,
 
Bila hackers, africa leo tungekuwa gizani bado.... nadhani ni chini ya asilimia 1 ya watu wangeweza kulipia Ms. Office tu....

Pamoja na kwamba ungeisoma Ms. Office bure chuoni...but kwenye practice (field/makazini) watu wangekuwa na ufanisi 0 kabisa!... Kwa maana Practice always makes it perfect...Maana kadri kitu unapokitumia kila siku...ndipo unakielewa zaidi...

So bila hackers, hivi vyote visingewezekana kamwe!.
 
Huko vyuoni na hata taasisi nyingi wanatumia microsoft zilizodukuliwa 😂
 
Sahihi kabisa, ukiingia huko the pirate bay unakutana na vitu vimeandaliwa tayari kwa ajili yako. Ingekuwa sio hao jamaa kuna program nyingi tungekuwa tunaziangalia tu.
 
Tungekuwa nyuma sanaa
GlvqkuNWcAAHQcG.jpeg
 
Hao jamaa wa tutoke wote windows hupiti mpaka product key jamaa wakaua unapita tu bila product key
😅😅 hizi issue nilikuwa nazipenda sanaa, nikageukia zangu kwenye reverse eng na malware analysis. But ni issue tamu sana uki master computer unaisemesha na kuipa maelekezo mchawi power tu ya pc
 
Nilifanyaga usenge data zangu karibu 300GB zikatokomea kusikojulikana ,isingekuwa ile software ya mchongo ya kugomboa data ningekuwa mkiwa sana
 
😅😅 hizi issue nilikuwa nazipenda sanaa, nikageukia zangu kwenye reverse eng na malware analysis. But ni issue tamu sana uki master computer unaisemesha na kuipa maelekezo mchawi power tu ya pc
Kuna moja inakutengenezea key za kila product software yoyote ukiweka imoooo, jamaa wanataka tutoke wote sio watoke wachache duniani tutoke wote
 
Nilifanyaga usenge data zangu karibu 300GB zikatokomea kusikojulikana ,isingekuwa ile software ya mchongo ya kugomboa data ningekuwa mkiwa sana
Na ndio pia tatizo la hizo software 😅.. Inaweza kukuliza kiliko kikuu

Binafsi nakwepa sana matumizi ya hizo software very risk kama unatumia pc yako kwa sensitive issues
 
Kuna moja inakutengenezea key za kila product software yoyote ukiweka imoooo, jamaa wanataka tutoke wote sio watoke wachache duniani tutoke wote
😅😅😅 Dunia tunaishia kwa upendo na kujaliana ndio huko sasa
 
Na ndio pia tatizo la hizo software 😅.. Inaweza kukuliza kiliko kikuu

Binafsi nakwepa sana matumizi ya hizo software very risk kama unatumia pc yako kwa sensitive issues
Zinakuwaga na backdoor,lakini hata software zinazoheshimika zinaweza kuwekewa fitina na hao hao watengenezaji kuwawezesha wahuni kufanya yao
 
Jamaa wanatupenda sana yaan ila wanatusambazia malware humohumo walivyokua wahuni vibaya sana
😅😅 inabidi uwe na skills hata za hapa na pale, kukabirina na malware ambao wanakuwa wame zi attach
 
Zinakuwaga na backdoor,lakini hata software zinazoheshimika zinaweza kuwekewa fitina na hao hao watengenezaji kuwawezesha wahuni kufanya yao
Ni jambo la kawaida hilo, ila kupunguza risk
 
Back
Top Bottom