jamie sam
Member
- Apr 13, 2018
- 14
- 12
Ni kweli bila njia hizo zisizo rasmi, huenda elimu ya ICT isingesambaa kwa kasi Afrika, lakini leo Kuna njia halali na bure za kujifunza, tunapaswa kuhamia kwenye matumizi ya open source ili kujitegemea kiteknolojia. “Hackers” walisaidia kwa njia isiyo rasmi, lakini hatuwezi kujenga mustakabali wa kidigitali kwa kutegemea uvunjaji wa sheria.Bila hackers, africa leo tungekuwa gizani bado.... nadhani ni chini ya asilimia 1 ya watu wangeweza kulipia Ms. Office tu....
Pamoja na kwamba ungeisoma Ms. Office bure chuoni...but kwenye practice (field/makazini) watu wangekuwa na ufanisi 0 kabisa!... Kwa maana Practice always makes it perfect...Maana kadri kitu unapokitumia kila siku...ndipo unakielewa zaidi...
So bila hackers, hivi vyote visingewezekana kamwe!.