Huko vyuoni na hata taasisi nyingi wanatumia microsoft zilizodukuliwa πBila hackers, africa leo tungekuwa gizani bado.... nadhani ni chini ya asilimia 1 ya watu wangeweza kulipia Ms. Office tu....
Pamoja na kwamba ungeisoma Ms. Office bure chuoni...but kwenye practice (field/makazini) watu wangekuwa na ufanisi 0 kabisa!... Kwa maana Practice always makes it perfect...Maana kadri kitu unapokitumia kila siku...ndipo unakielewa zaidi...
So bila hackers, hivi vyote visingewezekana kamwe!.
Good corrections ni crackers sio hackerssio hacker sema cracker π
na tukienda kwenye angle ingine twaita Cryptanalysis πGood corrections ni crackers sio hackers
Hao jamaa wa tutoke wote windows hupiti mpaka product key jamaa wakaua unapita tu bila product keyna tukienda kwenye angles ingine twaita Cryptanalysis π
π π hizi issue nilikuwa nazipenda sanaa, nikageukia zangu kwenye reverse eng na malware analysis. But ni issue tamu sana uki master computer unaisemesha na kuipa maelekezo mchawi power tu ya pcHao jamaa wa tutoke wote windows hupiti mpaka product key jamaa wakaua unapita tu bila product key
Kuna moja inakutengenezea key za kila product software yoyote ukiweka imoooo, jamaa wanataka tutoke wote sio watoke wachache duniani tutoke woteπ π hizi issue nilikuwa nazipenda sanaa, nikageukia zangu kwenye reverse eng na malware analysis. But ni issue tamu sana uki master computer unaisemesha na kuipa maelekezo mchawi power tu ya pc
Na ndio pia tatizo la hizo software π .. Inaweza kukuliza kiliko kikuuNilifanyaga usenge data zangu karibu 300GB zikatokomea kusikojulikana ,isingekuwa ile software ya mchongo ya kugomboa data ningekuwa mkiwa sana
π π π Dunia tunaishia kwa upendo na kujaliana ndio huko sasaKuna moja inakutengenezea key za kila product software yoyote ukiweka imoooo, jamaa wanataka tutoke wote sio watoke wachache duniani tutoke wote
Jamaa wanatupenda sana yaan ila wanatusambazia malware humohumo walivyokua wahuni vibaya sanaπ π π Dunia tunaishia kwa upendo na kujaliana ndio huko sasa
Zinakuwaga na backdoor,lakini hata software zinazoheshimika zinaweza kuwekewa fitina na hao hao watengenezaji kuwawezesha wahuni kufanya yaoNa ndio pia tatizo la hizo software π .. Inaweza kukuliza kiliko kikuu
Binafsi nakwepa sana matumizi ya hizo software very risk kama unatumia pc yako kwa sensitive issues
π π inabidi uwe na skills hata za hapa na pale, kukabirina na malware ambao wanakuwa wame zi attachJamaa wanatupenda sana yaan ila wanatusambazia malware humohumo walivyokua wahuni vibaya sana
Ni jambo la kawaida hilo, ila kupunguza riskZinakuwaga na backdoor,lakini hata software zinazoheshimika zinaweza kuwekewa fitina na hao hao watengenezaji kuwawezesha wahuni kufanya yao