Ni kweli bila njia hizo zisizo rasmi, huenda elimu ya ICT isingesambaa kwa kasi Afrika, lakini leo Kuna njia halali na bure za kujifunza, tunapaswa kuhamia kwenye matumizi ya open source ili kujitegemea kiteknolojia. “Hackers” walisaidia kwa njia isiyo rasmi, lakini hatuwezi kujenga mustakabali wa kidigitali kwa kutegemea uvunjaji wa sheria.Bila hackers, africa leo tungekuwa gizani bado.... nadhani ni chini ya asilimia 1 ya watu wangeweza kulipia Ms. Office tu....
Pamoja na kwamba ungeisoma Ms. Office bure chuoni...but kwenye practice (field/makazini) watu wangekuwa na ufanisi 0 kabisa!... Kwa maana Practice always makes it perfect...Maana kadri kitu unapokitumia kila siku...ndipo unakielewa zaidi...
So bila hackers, hivi vyote visingewezekana kamwe!.
Safi kabisa...Watu wanachanganya terminology mkuu au unaweza kuiita "Reverse Engineering" kitaalamu zaidisio hacker sema cracker [emoji41]
Hivi vitu vinahitaji uwe na hobbie navyo nilijaribu lakin mwish wa siku nilishindwa ku balance muda ukirudi homenumechoka na majukum mengine ndo ikawa mwisho wangu[emoji28][emoji28] hizi issue nilikuwa nazipenda sanaa, nikageukia zangu kwenye reverse eng na malware analysis. But ni issue tamu sana uki master computer unaisemesha na kuipa maelekezo mchawi power tu ya pc
Kaka huwezi kujikinga hata kama ukitumia paid version watu wakitaka data zako wanapata unachotakiwa ni ku minimize risk lakini sio kuzia kabisa hii ni kutokanaNa ndio pia tatizo la hizo software [emoji28].. Inaweza kukuliza kiliko kikuu
Binafsi nakwepa sana matumizi ya hizo software very risk kama unatumia pc yako kwa sensitive issues
[emoji23][emoji23][emoji23]watajijua wenyeweeee lazima ukubali kuliwa si umetaka cha bureeee kakaJamaa wanatupenda sana yaan ila wanatusambazia malware humohumo walivyokua wahuni vibaya sana
Kama uvunjaji wa sheria unasaidia maisha ya watu, acha zivunjwe tu..Ni kweli bila njia hizo zisizo rasmi, huenda elimu ya ICT isingesambaa kwa kasi Afrika, lakini leo Kuna njia halali na bure za kujifunza, tunapaswa kuhamia kwenye matumizi ya open source ili kujitegemea kiteknolojia. “Hackers” walisaidia kwa njia isiyo rasmi, lakini hatuwezi kujenga mustakabali wa kidigitali kwa kutegemea uvunjaji wa sheria.
Alafu unakuta HIZI data zilikuwa movie na music TU ni nouma🤣Nilifanyaga usenge data zangu karibu 300GB zikatokomea kusikojulikana ,isingekuwa ile software ya mchongo ya kugomboa data ningekuwa mkiwa sana