Makampuni ya mitandao ya kijamii yanatafutiwa dawa kama hayatazuia uzushi mitandaoni

Makampuni ya mitandao ya kijamii yanatafutiwa dawa kama hayatazuia uzushi mitandaoni

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Umoja wa Ulaya unafikiria kuyabana makampuni yanayotoa huduma za mitandao ya kijamii kutafuta namna ya kuwabana watumiaji wanoitumia kueneza habari za uzushi na uvumi unao hatarisha usalama wa jamii.

Many social media companies have invested heavily in content moderation over the years. But the industry’s recent track record hints at a bet – or perhaps a hope – that just maybe, the public will tolerate a bit more pollution.

There are some signs of pushback. In the European Union, officials are looking to hold social media companies accountable for spreading misinformation under the new Digital Services Act. In the UK, the Online Safety Act could take effect as soon as this year, requiring, among other things, social media platforms to remove illegal content.

 
Platforms nyingine zinatumiwa na Wabaguzi wa Rangi kusambaza uongo wao na Ajenda zao.

Na nyingine kama X mpaka uongozi wa juu nao umo.
 
Platforms nyingine zinatumiwa na Wabaguzi wa Rangi kusambaza uongo wao na Ajenda zao.

Na nyingine kama X mpaka uongozi wa juu nao umo.
Shida ni platform au users wa platform?
 
Ni Platform zenyewe zinajua kuwa kilichopostiwa ni uongo lakini hawafuti au kutoa angalizo.
I think kazi ya platform si ku double check, wao wana provide huduma, how user wanatumia huduma hiyo is not up to them.

Kumanage fake news ni kazi ya vyombo vya serikal sana sana
 
Kumanage fake news ni kazi ya vyombo vya serikal sana sana
Kwa mfano Elon Musk mwenyewe alishea habari za uongo kuwa muuaji wa Watu kule Uingereza ni Mhamiaji ambae kaenda Uingereza na Boat kutoka Ufaransa, wakati ukweli ni kwamba ni Kijana wa Kiingereza.
 
Back
Top Bottom