captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 585
- 1,185
Hii inadhihirisha ni kwa jinsi gani kwenye hii wizara ya mawasiliano bado kuna shida, ila jana mama aliwatumia saalam acha tusubiri..INAONESHA JINSI GANI MAKAMPUNI YA SIMU CHINI YA BARAKA ZA TCRA YANAVYOZIDI KUTUNYONGA!View attachment 1745812
1024MB = 1GBHolotel wamerudisha kwa kishindo mega bundle 1000tsh Mb 1024 sawa na GB 1.2 kwa weeek na dakika 100.
Karibu yote imekaidi na DH wa TCRS anaangalia tiHabari Wakuu, Naona kuna Mitandao ya Simu hadi sasa ni kama wamekaidi Amri ya Serikali Kuhusu Vifurushi. Hivi Serikali nayo ndio imeamua Kuwafumbia macho?
Mfano wa Mitandao hiyo ni Vodacom,Tigo...Je Serikali Imeshindwa Kuwafatilia?
tumia akili kidogoMi naona vibaki hivi hivi tu. Nyuzi za kimiyeyusho zimepungua, sasa hivi ukirefresh ni Samia hivi Samia vile.
Zamani unarefresh unakuta uzi wa swali 'Mke wangu hajarudi nyumbani nifanyeje?'
Nimeandika nilichoandika. Kama hauna akili za kukielewa siyo kosa langu.tumia akili kidogo
sawa ila tumia akili kidogo tuNimeandika nilichoandika. Kama hauna akili za kukielewa siyo kosa langu.
Nimeandika nilichoandika. Kama hauna akili ya kukielewa siyo kosa langu.sawa ila tumia akili kidogo tu
najua siyo makosa yako
Nasikia hakuna tena ya kutolea...Sasa hivi hata miamala ni tatizo
Hata kufika haifikiNasikia hakuna tena ya kutolea...
Mkuu sijaelewa hiyo Avatar yako inataka tuchukue muda wetu kutazama movie au hiyo pichaMtandao unaotoa night bando au bando za usiku zile ni upi kwa sasa mana halotel voda tgo airtel amna sjajua ttcl kama ipo ni sajili chapu nashindwa kupakua muv