sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Yeah mi nmeshaitumia sana mario ofcoz ndo map mod yangu ya kwanza enzi hizo.. Shida ya saiz ni hivyo tu inavyochukua mda mrefu afu sjui kwa nini kuna baadhi ya sehem ukienda kuchukua mzigo game inacrash.. So nikaona niendelee na tsm tu ukizingatia nayo ina africa map ambayo mi ndo burudan kwangu..Mario inaload mwanzo ila ukisha anza safar haina shida...kwakua nmeipenda bas ile tym ina load huwa naisubir tu..
Tsm nafkir kuishusha kesho
Kuna mod ya TruckSim map kwa sasa ni ver 6.5..Tsm mod ndio ipi?!
Kama tsm ina Africa hiyo nzur.!Yeah mi nmeshaitumia sana mario ofcoz ndo map mod yangu ya kwanza enzi hizo.. Shida ya saiz ni hivyo tu inavyochukua mda mrefu afu sjui kwa nini kuna baadhi ya sehem ukienda kuchukua mzigo game inacrash.. So nikaona niendelee na tsm tu ukizingatia nayo ina africa map ambayo mi ndo burudan kwangu..
Ni ver 6.5 ni kama mario map sema haina sehem sana sana za huu upande wa brazil tu ambao ukitaka unaweza kuweka separate.. Uzuri ni kuwa ipo fast ku load na ni compatible na mods nyingi.. Mi kuna mods nyingine natumia za tangu enzi za game ver 2.21 huko mpaka sasa zinakubali ila nikiweka map mod nyingine game inacrash..Kama tsm ina Africa hiyo nzur.!
tsm yako ni ya version ipi?
Hii ipo compatible na version 1.26?
Poa mkuu...itabid nizuge na tsm wakat nawait fix ya mario...Ni ver 6.5 ni kama mario map sema haina sehem sana sana za huu upande wa brazil tu ambao ukitaka unaweza kuweka separate.. Uzuri ni kuwa ipo fast ku load na ni compatible na mods nyingi.. Mi kuna mods nyingine natumia za tangu enzi za game ver 2.21 huko mpaka sasa zinakubali ila nikiweka map mod nyingine game inacrash..
Yeah mi tangu nimeitumia haijawahi nipa shida yoyote..Hii ipo compatible na version 1.26?
Mi mwenyewe naisubiria sana fix ya mario.. Kuna map nyingine ya promods nayo ni balaa ina sehem za africa hadi vijijini huko ndani ndani kuna vumbi na milima balaa vi barabara vyembamba kama kitonga.. Sema bado hawajatoa ya ver .2. 26...nilikuwa nayo ya ver 2.25 tamu sana... Kuna sehem hizo kama huna gari kuanzia hp 700 hufiki.. Full mitope na kunasa..Poa mkuu...itabid nizuge na tsm wakat nawait fix ya mario...
Nadownload hapa hii tsm ina mb 933 mungu asaidie isikatae maana ntakuwa nmepoteza mb za bureYeah mi tangu nimeitumia haijawahi nipa shida yoyote..
Vumilia mkuu ila ikiisha ipo poa sana hiyo map..Nadownload hapa hii tsm ina mb 933 mungu asaidie isikatae maana ntakuwa nmepoteza mb za bure
Tsm ya1.25 si ndio?Nadownload hapa hii tsm ina mb 933 mungu asaidie isikatae maana ntakuwa nmepoteza mb za bure
Tsm ya 1.26 si bado haijatoka? That means itabdi nirud 1.25 sasaMi mwenyewe naisubiria sana fix ya mario.. Kuna map nyingine ya promods nayo ni balaa ina sehem za africa hadi vijijini huko ndani ndani kuna vumbi na milima balaa vi barabara vyembamba kama kitonga.. Sema bado hawajatoa ya ver .2. 26...nilikuwa nayo ya ver 2.25 tamu sana... Kuna sehem hizo kama huna gari kuanzia hp 700 hufiki.. Full mitope na kunasa..
Tsm ya 1.26 si bado haijatoka? That means itabdi nirud 1.25 sasa
Okey fanya utupe feedbackSijaweka bado ila wamesema ni compatible na 1.26
kadiri namba zinavyokua complex zaidi ndivyo cheating inapata wepesi zaidi kwa mfano kama una tarakim 23 ngumu kuchiti ukilinganisha na 2574932Kuna mtu nmemuwekea hii game bt nkitaka kucheat inajifunga au anatakiwa afikishe xp ngap ndio uanze kucheat?!
mario nnayo kwa 1.25 inasukuma fresh tu sema kati ya maps zote ya indonesia ndo naikubali mno iko challenging sana...bila chassis ya 4wheel drive(or more) utakesha njianiMi mwenyewe naisubiria sana fix ya mario.. Kuna map nyingine ya promods nayo ni balaa ina sehem za africa hadi vijijini huko ndani ndani kuna vumbi na milima balaa vi barabara vyembamba kama kitonga.. Sema bado hawajatoa ya ver .2. 26...nilikuwa nayo ya ver 2.25 tamu sana... Kuna sehem hizo kama huna gari kuanzia hp 700 hufiki.. Full mitope na kunasa..
Mod ya hiyo mario yako ina mb ngap?!mario nnayo kwa 1.25 inasukuma fresh tu sema kati ya maps zote ya indonesia ndo naikubali mno iko challenging sana...bila chassis ya 4wheel drive(or more) utakesha njiani
Harsh Russia baikal nayo bonge moja la map...full offroad mitope ..naona leo wmetoa update ya 1.26mario nnayo kwa 1.25 inasukuma fresh tu sema kati ya maps zote ya indonesia ndo naikubali mno iko challenging sana...bila chassis ya 4wheel drive(or more) utakesha njiani