Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Harsh Russia baikal nayo bonge moja la map...full offroad mitope ..naona leo wmetoa update ya 2.26
Naionaga hii mod bt sijawahi kujaribu....tsm kwangu ina crash
 
Msaada kwenye tuta, najaribu kudowload mode kwa bit torment naambiwa hadi nlipie dola kadhaa ....nifanyeje ili nipàte map na engine zenye HP 1000 nlilonalo kwasasa no HP 700 mwisho
 
Msaada kwenye tuta, najaribu kudowload mode kwa bit torment naambiwa hadi nlipie dola kadhaa ....nifanyeje ili nipàte map na engine zenye HP 1000 nlilonalo kwasasa no HP 700 mwisho
aina gani ya gari...nnayo mod ya hp kubwa kwa Volvo
 
Nyie madogo mnaonaje mkifanya mautundu tuweke ramani za tanzania yaani tuchore barabara za tanzania na miji ya tanzania makampuni ya tanzania........hamuoni itakuwa ni kitu kikubwa sana
 
Nyie madogo mnaonaje mkifanya mautundu tuweke ramani za tanzania yaani tuchore barabara za tanzania na miji ya tanzania makampuni ya tanzania........hamuoni itakuwa ni kitu kikubwa sana
Brilliant idea, makampuni ya Tanzania tayari yuko mtaalamu ameshatengeneza mods (angalia mwanzo wa uzi) , ramani bado sijaona, kama una ujuzi ingekuwa vema utumulikie pa kuanzia
 
Kutengeneza ramani sio ishu sema kupata data za mahali husika kama mpangilio wa mji na majengo.. Ule muonekano wa mandhari ndo ishu manake ramani ya barabara unaitoa kwenye Google map tu.. Its very time consuming
 
Msaada kwenye tuta, najaribu kudowload mode kwa bit torment naambiwa hadi nlipie dola kadhaa ....nifanyeje ili nipàte map na engine zenye HP 1000 nlilonalo kwasasa no HP 700 mwisho
Kwa mods tumia site za mods moja kwa moja kama ets2 mods au modland.net siyo torrent
 
Kwny viva la france sioni folder la mods...
 
Folder la mods haijalishi ni ver gani mara zote linakuwa kwenye my documents, euro truck simulator 2 ndani yake kuna folder la mods
 
View attachment 474472 View attachment 474472
haina tofauti na volvo yangu globetrotter fh12 tank 1600litres iko na 10 x 4 chassis, ila naona yako babkubwa zaidi katika tank...itafutie mod ya 10,000HP engine ijiongeze vizuri barabarani

Hili game niliacha kulicheza mda kidogo kwasababu nilikua siwezi kufanya kazi. Nilikua natumia Scania Streamline top line HP 730 v8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…