Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Tatizo la Euro truck simulator malori yake hayana speed kuna mzgo unaitwa Scania simulator ni hatare mzee

Problem ya scania simulator ni kwamba haina uwanja mpana wa kujidai kama Euro truck simulator.
 
Wakuu hii game nmecheza tokea nkiwa chuo. Nlikua silali mzee asubui hii hapa. Katika game zote nahisi hii ndo nmeicheza kwa muda mrefu. Saivi nna garage kama 50 iv alaf zote zmejaa magari. Kuna muda natamani igeuke kua reality niwe milionaire
 
mkuu nimecheza hii game mpk kuwa na garage 5,nikaiupdate online,baada ya ku update nilicheza mission 2 tu ,ili niendelee inabidi ni activate,lkn kila key yake ninayoiiingiza inakataa,msaada kwenye tuta hapo mkuu ninachotakiwa kufanya ili niendelee nayo hii game?
 
 

Unatumia version gani?
 
mi nnayo ambayo ina mods za african road(north africa- Egpty ,morocco,libya) tayari ...bonge la game and very nice kwa kutuliza mind..my favourite!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…