HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Mtauza sana Waatalam mjitokeze muongeze nguvu hapo.
ni version ya nyuma kidogo nafkiri ni 1.4.8s...niliipata setup yake ikiwa na mod ya africa map tayari..Version gani hiyo game?
ni version ya nyuma kidogo nafkiri ni 1.4.8s...niliipata setup yake ikiwa na mod ya africa map tayari..
Habar msaada wa product key za eurotrack simulator 2
Hii game nmeidownload nmeipenda ila shida nnayoipata ni pale engine inapokua malfunction sijui jnsi ya kuirekebisha. Mission nnayopewa ya kudeliver mzgo nashndwa kufaham location ni wap natakiwa kupeleka mzigo, kama kuna njia rais ya kutambua jinsi ya kujua wap natakiwa niende naomba kufahamishwa! Kuna time sms inajdisplay kwmba nmechoka natakiwa kupumzka, je sehem gan nayopaswa kupumzka na ntaitambuaje?
Mimi shida yangu ETS katika ps2 vipi hii issue yawezekana?
F5 itakusaidia ku view raman kwa mwonekano tofaut tofaut na ukikaribia delivery point sound ya game ina change pia kweny raman utaona pendera nyekundu
Mimi shida yangu ETS katika ps2 vipi hii issue yawezekana?
yeah...kwa sasa natumia 1.21...hiyo ya zamani niliitumia mda kidogo...Ok , ndiyo maana nilikuwa nashangaa. Sasa hivi kuna v1.21.1. Imeimprove sana kikubwa ni performance (fps),sounds na suspension. Cheki hiyo utainjoy nafikiri.
yeah...kwa sasa natumia 1.21...hiyo ya zamani niliitumia mda kidogo...
Nakushauri fungua youtube, tafuta ETS2 tutorials. Kuna mambo mengi sana katika ETS2
Nlikua nam direct uyo mkuu me sina tatizo ila, me nkishindwa mwelekeo naminya kila button mpk nipate solution ila siminyii power button tuu pc isizime😉
Kwa wale watakaoweza:
Game nimedownload hapa: https://kat.cr/euro-truck-simulator...-repack-by-darck-repacks-fixed-t11584174.html
Na map yenye african roads(north africa sanasana) inayofanya kazi nimedownload hapa: TruckSimMap 6.1.1 for patch 1.21.x
Asante mkuu. Vp barabara zina lane moja moja kila upande?