HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
ni mchanganyiko mkuu...sehem za mjini nyingi ni lane mbili na za nje ya mji ni lane moja...kuna barabara inatoka tunisia vile mpaka libya...full jangwa afu pembeni ya Mediteranian sea...kuna sehem kuna kona kama za kitonga afu lane moja...very nice...ntaleta screenshort nikitulia..
mi pia natumia avg haidetect kitu...inategemea umedownload kutokea wapi...kuna link nimeweka hapo juu ndo nilipodownload mimi kwa torrent..hili game kwangu AVG inadetect kama virus 😕
Nmetumia hiyo link uliyoweka ila nikishamaliza kutengeneza profile ili nianze kudrive sasa haliendelei lina stuck hapo!?mi pia natumia avg haidetect kitu...inategemea umedownload kutokea wapi...kuna link nimeweka hapo juu ndo nilipodownload mimi kwa torrent..
inawezekana ikawa ni specification ya pc yako inashindwa au game lenyewe uliloinstall lina tatizo..weka specification zako kwanza..Dah hili game nalitaman sana but kwenye PC yangu linafika nikishamaliza kutengeneza profile linastuck haliendelei zaidi msaada zaidi wadau!!?
mi pia natumia avg haidetect kitu...inategemea umedownload kutokea wapi...kuna link nimeweka hapo juu ndo nilipodownload mimi kwa torrent..
unatakiwa uende ktk kiyuo cha mafuta au garage au hotel au kituo cha kupumzika utaona alama ya kitanga ktk ramani yako ndo uenede hapo utaona sehemu ya paking ukifka uitakwambia press E then Enter ndo unalala. NOTE. kama upo mjini utatakiwa uenede ktk garage or hotel bt nje ya mji ndo vituo vya mafuta na vituo vya kupumzika na anagalia ktk attachmentt hiiNmeendesha sana napata sms kwamba nmechoma nahitaj kupumzika, sifaham chakufanya ili niweze kurest...msaada please
Wakuu hii game nmecheza tokea nkiwa chuo. Nlikua silali mzee asubui hii hapa. Katika game zote nahisi hii ndo nmeicheza kwa muda mrefu. Saivi nna garage kama 50 iv alaf zote zmejaa magari. Kuna muda natamani igeuke kua reality niwe milionaire
hili game kwangu AVG inadetect kama virus 😕
Habari, game hiyo umenunua au umedownload torrent?