Makampuni ya Tanzania ya usafirishaji yanakwama wapi, maana yanasababisha nchi inaingia kwenye migogoro na majirani wote

Unajidanganya,swala la soko,sisi tumezungukwa na nchi zaidi ya 7! Na ni wanachama wa SADC,hatutegemei EAC kwa kiasi kikubwa kama nyinyi, tunauza mazao yetu hadi Zimbabwe, pia tutatumia hayo mazao wenyewe kwa sababu sisi ni wengi.kuteseka kwa WTZ kipindi cha Nyerere haikutokana na kufungwa mpaka na Kenya,ilitokana na Sera iliyokuepo,vita ya Uganda, ukame n.k,acha upotoshaji.Hayo mawazo ya enzi ya Nyerere ndio bado mko Nayo mpaka sasa kuhusu TZ! Mmekosea.
Hizo nchi zote za sadc mnauza bidhaa za pesa ngapi kwa mwaka halafu pia ulete takwim za bidhaa zenu ambazo mnauza Kenya na ulinganishe utaona tofauti.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Ni dhahiri kwenye hili la corona, Tanzania imeamua kutoendana na mataifa mengine duniani, yenyewe imeamua kupuuza hiki kirusi na kuendelea na maisha kama kawaida, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe, kwa hili hakuna taifa lenye uhuru wa kuingilia maamuzi yao Watanzania maana wenyewe ni taifa huru. Hivyo hata wakijifia huko watajua wenyewe na kuzikana. Lakini changamoto inaibuka pale kwamba Tanzania sio kisiwa, ni taifa lenye ujirani na mataifa mengine, linachangia hata baadhi ya makabila kwenye mipaka yake.

Kwa hiyo, ina maana kwa namna moja au nyingine lazima raia wake wataingia na kutoka kwenye baadhi ya haya mataifa ambayo yameizunguka, hususan madereva wanaofanya kazi za usafirishaji wa mizigo. Lakini changamoto inakuja pale, kila mojawapo wa haya mataifa wameweka bayana lazima yeyote anayeingia apimwe, hamna njia ya mkato kwa hili., iwe kule SADC au EAC, lazima upimwe, na imetokea kwamba madereva wengi wa Tanzania wanagunduliwa kuwa na kirusi, kitu ambacho kinasababisha aibu kwa uongozi wa Tanzania maana huko kwao walishaaminisha raia wao hamna kitu kama corona.

Viongozi wao waliomba Kenya isiwe ikitaja uraia wa madereva wao kila inapowagundua na kirusi, Kenya ilizingatia hili na kuweka siri, kila ikipima na kumgundua muathirika wa Tanzania, imekua inampokeza kwenye mamlaka husika kimya kimya. Kingine walichokubaliana ni kwamba madereva wawe wanapimwa kwenye taifa wanakotokea na kupewa vyeti, ili ipunguze msongamano pale mpakani, kwamba akiibuka na cheti, hana haja ya kupimwa tena, anapita tu, ila wakakubaliana hata hawa wenye vyeti watakua wanapitiwa mara moja moja (random tests), sio wote ila anaibukiwa mmoja kati ya kama kumi vile na kupimwa.

Hii hapa ndio imeibua changamoto, maana madereva wanaibuka na vyeti, wengi wanaoshtukizwa na kupimwa wanakutwa na kirusi ilhali wana vyeti, sasa hapo inabidi wapimwe wote, hata kama una cheti chenye mihuri ya hadi ikulu, lazima upimwe tena, na ndio wanakutwa na kirusi balaa.

Rais wetu Uhuru ana jukumu la kuhakikisha usalama wa afya ya Wakenya, haijalishi nini wala nini, Tanzania wanune, walipuke, wabwatuke, wang'ake ukweli utabaki pale pale, lazima tuhakikishiwe usalama wetu, wao wafanye yao huko watakavyo, lakini kila anayeng'ang'ania kuvuka mpaka kuja Kenya lazima afuate sheria zetu na masharti.

Sasa sielewi makampuni yao ya usafirishaji yanakwama wapi, mbona wasiajiri madereva pande zote mbili, gari linafika na kupokezwa kwa dereva wa nchi ya pili, wanatupiana funguo, linapulizwa madawa na kila hatua zinachukuliwa. Hapo mbona tutaendelea kuheshimiana tu. Ni bayana Kenya ndiye jirani muhimu sana kwa Tanzania, ukipitia takwimu zao za biashara baina yao na majirani wote, utakuta Kenya ndiko wanauza mazao yao mengi, na ndio maana wao hupiga makelele sana kila pakiibuka mzozo, maana hata ukiangalia leo hii Uganda bado wanataja madereva wa Tanzania wanaogunduliwa na kirusi, ila hautaskia Watanzania wakililia Uganda, wanawaacha waendelee kutaja, ila kwetu wanalia sana.

Njia itafutwe ya kumaliza hii issue kabisa, aidha tuwekeane bandari kavu mipakani kila mtu abaki kwao, au madereva waajiriwe kwenye kila taifa la pili, lakini ukweli utabaki pale pale, lazima upimwe upimwe upimwe, hapiti mtu...kwa cheti au makaratasi ya kariokoo lazima upimwe.

Kenya wanayo haki ya kuchagua maisha badala ya uchumi. Watanzania wenye busara zao hawaridhiki katu na huu msimamo wa serikali wa kuwaweka rehani kiasi hiki.

Ikumbukwe 1+1 = 2 bila kujali wajinga wangapi wanasema ni 5.

Tanzania, mzee baba kasema kila kitu ni hewa, wafanyakazi hewa, cheti fake nk ije kuwa cheti cha Corona?

Corona: EAC kutokuwapo protokali moja, janga hili bado sana.

Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

Kuajiri madereva upande wa pili kwa shuruti kama hivi nayo si suluhisho. Hapo mbona hata engine za magari zaweza badilishwa? Gari si sawa na fyekeo la kufyekea majani kupeana peana tu.

Hata bandari kavu maingiliano yatakuwapo tu.

Hapa dawa sahihi ilikuwa ni kufunga mpaka tu!
 
MK254 Hili mnalolitaka ni kama walivyofanya Rwanda, corona mmepatia sababu.

Kwa sasa gari za Rwanda zinaingia Tanzania na madereva wao hawasumbuliwi na makampuni ya Rwanda yaliyokuwa na madereva wa Tanzania upande wa Rwanda wamewarudisha watanzania huku.

Kuna makosa yamefanyika kuruhusu hawa jamaa kuweka mkakati huu, kwa sasa usafirishaji wa makasha Dar port to Kigali hauna maslahi kwa gari za Tanzania.

Tunajua walikuwa wanakata mizigo yao wasafirishe wenyewe na pia mizigo kwa mfano mchele, mahindi na mashudu wanataka magari yao pia yafate huku.

Kenya mnataka kufata njia waliotumia Rwanda, nasikitika kwangu haya mambo hayaangaliwi kwa undani zaidi.

Nakumbuka sakata la rodtoll ilivyosumbua kipindi cha JK kutoka $500 kwa gari za Rwanda kuingia tanzania na wao wakataka walipe $152 kama tunavyolipa sisi kwa hizi km 152 Rusumo to Kigali.
 
Jadili kitakwimu kama mtaalam wacha ngonjera, hao wote mliozungukwa nao ni maskini kama mlivyo, Kenya tu ndiye tajiri anayewapa biashara ya maana.
Ukijiita tajiri halafu unayemuita masikini anakuvimbishia msuli hadi unalialia basi jiulize kuhusu huo utajiri wako! Yawezekana unajimilikisha nafasi yake.
 
Kenya wanayo haki ya kuchagua maisha badala ya uchumi. Watanzania wenye busara zao hawaridhiki katu na huu msimamo wa serikali wa kuwaweka rehani kiasi hiki.

Ikumbukwe 1+1 = 2 bila kujali wajinga wangapi wanasema ni 5.

Tanzania, mzee baba kasema kila kitu ni hewa, wafanyakazi hewa, cheti fake nk ije kuwa cheti cha Corona?

Corona: EAC kutokuwapo protokali moja, janga hili bado sana.

Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

Kuajiri madereva upande wa pili kwa shuruti kama hivi nayo si suluhisho. Hapo mbona hata engine za magari zaweza badilishwa? Gari si sawa na fyekeo la kufyekea majani kupeana peana tu.

Hata bandari kavu maingiliano yatajuwapo tu.

Hapa dawa sahihi ilikuwa ni kufunga mpaka tu!

Kingine kinachowezekana ni maabara ya pamoja hapo mpakani ambayo itumike na wataalam wa pande zote mbili wakishirikiana kwa pamoja, yaani dereva aidha Mkenya au Mtanzania anaingia na kuwakuta wataalam wa kwao na wa nchi jirani hapo, anapimwa huku wakishuhudia wote na kujiondokea, hii itateleza vizuri sana maana akiondoka hapo ameridhisha mataifa yote mawili, akigunduliwa na kirusi anapokezwa kwa watu wake papo hapo.
Lakini hili la mtu amekatiza kutoka Dar na kijikaratasi cha kuonyesha mpakani sio kabisa, kwanza hata inawezekana kweli kapima Dar na kukutwa bila, ila kwa walivyo na muingiliano, unakuta labda kalala kigesti uchwara sehemu Moshi, yaani mpaka anafika Namanga keshajimix balaa halafu anachomoa kijikaratasi eti cheti na hataki apimwe tena.
 
Ni dhahiri kwenye hili la corona, Tanzania imeamua kutoendana na mataifa mengine duniani, yenyewe imeamua kupuuza hiki kirusi na kuendelea na maisha kama kawaida, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe, kwa hili hakuna taifa lenye uhuru wa kuingilia maamuzi yao Watanzania maana wenyewe ni taifa huru. Hivyo hata wakijifia huko watajua wenyewe na kuzikana. Lakini changamoto inaibuka pale kwamba Tanzania sio kisiwa, ni taifa lenye ujirani na mataifa mengine, linachangia hata baadhi ya makabila kwenye mipaka yake.

Kwa hiyo, ina maana kwa namna moja au nyingine lazima raia wake wataingia na kutoka kwenye baadhi ya haya mataifa ambayo yameizunguka, hususan madereva wanaofanya kazi za usafirishaji wa mizigo. Lakini changamoto inakuja pale, kila mojawapo wa haya mataifa wameweka bayana lazima yeyote anayeingia apimwe, hamna njia ya mkato kwa hili., iwe kule SADC au EAC, lazima upimwe, na imetokea kwamba madereva wengi wa Tanzania wanagunduliwa kuwa na kirusi, kitu ambacho kinasababisha aibu kwa uongozi wa Tanzania maana huko kwao walishaaminisha raia wao hamna kitu kama corona.

Viongozi wao waliomba Kenya isiwe ikitaja uraia wa madereva wao kila inapowagundua na kirusi, Kenya ilizingatia hili na kuweka siri, kila ikipima na kumgundua muathirika wa Tanzania, imekua inampokeza kwenye mamlaka husika kimya kimya. Kingine walichokubaliana ni kwamba madereva wawe wanapimwa kwenye taifa wanakotokea na kupewa vyeti, ili ipunguze msongamano pale mpakani, kwamba akiibuka na cheti, hana haja ya kupimwa tena, anapita tu, ila wakakubaliana hata hawa wenye vyeti watakua wanapitiwa mara moja moja (random tests), sio wote ila anaibukiwa mmoja kati ya kama kumi vile na kupimwa.

Hii hapa ndio imeibua changamoto, maana madereva wanaibuka na vyeti, wengi wanaoshtukizwa na kupimwa wanakutwa na kirusi ilhali wana vyeti, sasa hapo inabidi wapimwe wote, hata kama una cheti chenye mihuri ya hadi ikulu, lazima upimwe tena, na ndio wanakutwa na kirusi balaa.

Rais wetu Uhuru ana jukumu la kuhakikisha usalama wa afya ya Wakenya, haijalishi nini wala nini, Tanzania wanune, walipuke, wabwatuke, wang'ake ukweli utabaki pale pale, lazima tuhakikishiwe usalama wetu, wao wafanye yao huko watakavyo, lakini kila anayeng'ang'ania kuvuka mpaka kuja Kenya lazima afuate sheria zetu na masharti.

Sasa sielewi makampuni yao ya usafirishaji yanakwama wapi, mbona wasiajiri madereva pande zote mbili, gari linafika na kupokezwa kwa dereva wa nchi ya pili, wanatupiana funguo, linapulizwa madawa na kila hatua zinachukuliwa. Hapo mbona tutaendelea kuheshimiana tu. Ni bayana Kenya ndiye jirani muhimu sana kwa Tanzania, ukipitia takwimu zao za biashara baina yao na majirani wote, utakuta Kenya ndiko wanauza mazao yao mengi, na ndio maana wao hupiga makelele sana kila pakiibuka mzozo, maana hata ukiangalia leo hii Uganda bado wanataja madereva wa Tanzania wanaogunduliwa na kirusi, ila hautaskia Watanzania wakililia Uganda, wanawaacha waendelee kutaja, ila kwetu wanalia sana.

Njia itafutwe ya kumaliza hii issue kabisa, aidha tuwekeane bandari kavu mipakani kila mtu abaki kwao, au madereva waajiriwe kwenye kila taifa la pili, lakini ukweli utabaki pale pale, lazima upimwe upimwe upimwe, hapiti mtu...kwa cheti au makaratasi ya kariokoo lazima upimwe.
Ukipewa uwezo wa kulifuta taifa moja hapa duniani, NAHISI UTAIFUTA TANZANIA... kwako hakuna kizuri toka Tanzania...
 
Mimi ni mtanzania ila nakiri kwa hili tunakosea Sana sijui viongozi wetu wana Nia gani na sisi. Wanashindwa vipi kuendana na guidelines za WHO
Ww ongea fact usitulete utumbo apa...kwaiyo yungejifungia ndani ...hawa kunya walivyo jifungia wamepata nn?
 
Wewe unaekichukulia serious hicho kirusi baada ya kujipima na kukikuta mnatumia dawa gani? na hakuna unajisumbua nini kitu kinachoweza kujiondokea chenyewe mwilini tena bila dawa,kuna ukimwi,maralia,typhoid,kansa n.k mmevitokomeza au haviui mpaka corona muhofie kufa?hao waliowapa fedha za mkopo kupapambana na ugongwa msiojua mwisho wake siku wakisema mtoke nje haiwezakani kupambana nao ndio mtajielewa,dnikutajie dawa nzuri nayo Kenya yote mtoke muache nchi tu muanze kurudi mmojammoja tena kupimwa mrudi kwenu na mkishakuwa OK! mjenge na ukuta kama wa babeli muweke na fensi ya umeme kwa juu yaani msionane na majirani zenu mpaka wapone kinyume na napo ni uduni wa kufikiri.
 
Nyinyi mnapenda mbwembwe tu.. Ili wananchi wenu waone viongozi ni simba.
Ni Sawa. Mawaziri watakutana, picha xichukuliwe kuwafurahisha mlivyo ikalia Kenya, lakini mwisho ni hapo.. Mipango yetu inasonga mbele
Sasa kwann rais wenu alikubaliana na magu kuwakutanisha mawaziri, na mawaziri wakakutana na pctr wakapiga.
Afu mnageuka tena, huoni you guys are not men of your words, bunch of pussies, tutaona this time itakapoishia.
 
Rais Uhuru anajua Magu anapenda sifa za kuonekana mtu mwenye nguvu... akampa hilo.
Saa hii Uhuru hata amesahau kama kulikuwa na shida kama hiyo..
 
Kwani zile 1.5 trn zilipigwa na nani vile mkuu, sema sikumbuki kuhusu dowans na dada zake
Peleka upumbavu huko

Ni vichaa tu wanaweza kuamini trillion 1.5 kwenye mapato ya trillion 1.4 kwa mwezi yanaweza kuibiwa na bado serikali ikaendesha nchi bila misukosuko
 
Rais Uhuru anajua Magu anapenda sifa za kuonekana mtu mwenye nguvu... akampa hilo.
Saa hii Uhuru hata amesahau kama kulikuwa na shida kama hiyo..
Ni umama, hakuwa na haja ya kumpea hata hizo sifa.
Be a man of your words, usibadilike badilike kama mwanamke malaya
 
Back
Top Bottom