Makampuni ya Utalii na Hoteli za Kitalii

Ushauri Mzuri, Bora kuziba ufa kuliko kujenga Ukuta.
 
Hii ipeleke jukwaa la siasa pia.

Ni mada sensitive sana. Tunaumia sana muda huu landcuriser Toyota kupeleka kilombero kuhemea vitunguu na bamia na kuirudisha parking.

Mwaka huu ni wa hovyo kuliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo wizara ilikuwa na kodi lukuki hadi kufanya gharama za kutalii Tanzania kuwa kubwa bila sababu za msingi.

Ni muda muafaka kupitia taratibu tulipo kosea na kurekebisha. Kuhusu wafanya biashara na wafanyakazi sekta ya utalii waandae mkakati wa mda mfupi na mrefu kujikwamua na serikali ikitupia jicho na mkono vile vile.
 
Utalii wa ndani utafanywaje na watu wasio na disposable income mkuu?
 
ZSSF (Zanzibar) jana imewajibu wafanyakazi waliopitia majanga haya huko Zenji kwamba wao wanasimamia sheria zinavyosema na hakuna sheria inayoruhusu mfuko kutoa pesa kipindi cha janga kama hili,ndivyo walivyojibu.

Ingawa swali la msingi hapa ni Je,hio mifuko ya kijamii inazo hizo pesa kwa wkt huu?au walishazipeleka kwny miradi yao isiyoeleweka na janga Corona likaibuka kama surprise.
 
Hii ipeleke jukwaa la siasa pia.
Ni mada sensitive sana.
Tunaumia sana mda huu landcuriser Toyota kupeleka kilombero kuhemea vitunguu na bamia na kuirudisha parking ..
Mwaka huu ni wa hovyo kuliko...

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante ndugu

Moderators mnaombwa kupeleka huu uzi jukwaa la Siasa ili Viongozi watunga Sera wauone.

Mod Five

Fang
 
This is reality to be faced for couple of months. Tourism and aviation industry is going to suffer disproportionately due to covid-19 pandemic. The case will be much worse in developing countries including Tanzania.

Because these countries has showed poor response towards this pandemic and the disease is going to stay for long time and actually is going to be endemic in these countries.

Moreover, these countries hasn't done enough to make plans for economic stimulation package due to it's infantile economy.

Based on all these dynamics I advice affected industry to try another route to participate in the economy, since hopping that this situation will normalize within coming few months is completely unrealistic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana waziri husika kawasilisha bungeni ila sijaona lolote linaloendana na hoja kama hizi zaidi ya watu kupoteza ajira soon.
 
Watu kwa kujikosha kwa mkuu hawajambo!!! Niliona kwenye taarifa ya habari eti TANAPA sasa hivi wameanzisha program ya utalii kwa njia ya video eti wanarekodi matukio ya wanyama porini na kisha wanawatumia watalii waangalie wakiwa vyumbani kwao!! Eti ndio ubunifu waliobuni huo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mujarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aisee
 
Hii ipeleke jukwaa la siasa pia.

Ni mada sensitive sana. Tunaumia sana muda huu landcuriser Toyota kupeleka kilombero kuhemea vitunguu na bamia na kuirudisha parking.

Mwaka huu ni wa hovyo kuliko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakuomba mkuu, uanzishe kwenye Jukwaa la siasa...Au Pin..ikae juu.

Please Mods

Leo na kesho Waziri yupo Arusha - KIkao na wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…