Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magari haya yapo na battery. Kwahiyo umeme wake ukiisha unaenda kuchaji kama unavyochaji simu yako. Kwa kutumia umeme wa kawaida unaweza kuchukua muda mrefu kuchaji hiyo bettary. KWaiyo kunakuwa na charger maalum au vituo maluum vya kuchargia haraka.
Kwa ninavyojua:
Unavyopanga trip, gari inakua inakupa njia (kwenye google map) na kukuambia kila mahala ambapo kuna kituo cha kuchajia na vile vile inakupa makadirio ya kilometa ambazo gari yako itaweza kutembea kwa chaji uliyonayo.
Mfano hii hapa screen ya Tesla.
View attachment 2751029
Inakuonesha chaja zilizopo, distance, bei ya kuchaji etc.
Tukirudi kwenye wasiwasi wako.
Ni kweli, kwa nchi kama Tanzania, hizi gari bado. Ata ukinunua leo, unaweza kuweka charging station nyumbani kwako, lakini mfano unakuta full charge gari ina range ya kilometa 400 ina maana ukitaka kwenda Mbeya kutoka Dar utahitaji kuchaji mitaa ya Iringa. Je kuna charging station?
Sasa wenzetu unakuta zipo nyingi. Mfano kwenye malls, kwenye vituo vya mafuta etc.
Mfano hapa, unakuta kwenye parking ya mall kuna mahala pa kupata EV tu.
View attachment 2751034
Tujipe muda, nadhani baada ya miaka 5 hadi 10 tunaweza kuanza kuziona EV nyingi tu.
Kwa sasa thnaendelea kukomaa na Hybrid.
Ukisoma Law of Conservation of Energy inakataa kiongozi wangu. Maana wakati gari inatembea kwenye EV source of energy ni hiyo battery. Je, utachaji hiyo battery kwa kutumia source ipi?Kwamba wameshindwa kutengeneza System ambayo itakuwa inacharge battery moja kwa moja Wakati gari ipo barabarani??. Mbona hzi gari tunazotumia battery inajicharge??
Haya ndugu yangu ni maamuzi ya serikali tu. Serikali ikiamua gharama za kucharge ni ndogo mno ukilinganisha na gharama za mafuta.Gharama za kuchaji zikoje na inachukua muda gani kucharge?
Ukisoma Law of Conservation of Energy inakataa kiongozi wangu. Maana wakati gari inatembea kwenye EV source of energy ni hiyo battery. Je, utachaji hiyo battery kwa kutumia source ipi?
Kwenye gari zetu source of energy ni fuel ambayo inabadilishwa inakuwa mechanical energy ndio inazungusha alternator ambayo inacharge battery.
Source kwenye gari za mafuta source of energy ni fuel mkuu.
Halafu wenzetu kenya tayari wapo na hizo gari. Sijui shida nini kwetuMkuu wengine Physics ilipita kushoto Ahsante kwa elimu.
Halafu wenzetu kenya tayari wapo na hizo gari. Sijui shida nini kwetu
Kenya wako mbele always, si unaweza kununua charger yako?