Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Haya magari bongo yameingia?Ndio maana ninakwambia fast harger ni sekunde tu battery imejaa. Ukitakaa usubirie muda mrefu chargia nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya magari bongo yameingia?Ndio maana ninakwambia fast harger ni sekunde tu battery imejaa. Ukitakaa usubirie muda mrefu chargia nyumbani
Wewe hujui kitu unavyoonyesha Kwa Hiyo unafikili Watz wakitumia Magari ya Kichina ndo Wachina wamemzid MMarekani Kwenye technology ya magari hizo gari Zote ulizoorezeaha hapo ni TakatakaMagari yanayobeba mizigo hapa bongo asilimia kubwa ni Chinese. Achilia mbali mabasi
Baadhi ya Trucks zinazotumika made in china.
1. Howo
2. FAW
3. Shacman
4. Dongfeng
5. Sinotruk
6. Foton
7. JAC
8. Beiben
9. Dayun
10. Qingling
11. Higer
12. King Long
13. BYD
14. JMC
15. Changan
16. Brilliance Auto
17. Hawtai
18. CAMC
19. Hualing Xingma
20. Dongfeng Liuzhou Motor
Haya taja magari ya marekani yanayotumika hapa TanzaniaWewe hujui kitu unavyoonyesha Kwa Hiyo unafikili Watz wakitumia Magari ya Kichina ndo Wachina wamemzid MMarekani Kwenye technology ya magari hizo gari Zote ulizoorezeaha hapo ni Takataka
Ndio ingawaje kwa uchacheHaya magari bongo yameingia?
Mwanzo mzuriNdio ingawaje kwa uchache
Gari za Kichina ni Za Bei Chee Nyie Watanganyika Mnataka Vitu Bei Ya chini Sasa Utaweza kununua Gari ya Kimarekani na Kwenye Biashara Sio Kwamba Watanzania wasipo nunua gari za USA basi Ndo Marekani Inapata Hasara au Haifanyi Biashara za magari Kuna Nchi Za kitajiri ndo Wanatumia Gari Hizo Sio Maskini kama Huku AfricaHaya taja magari ya marekani yanayotumika hapa Tanzania
Sawa nitajie sasa magari ya Kimarekani unayoyajua yanatumika huko ulayaGari za Kichina ni Za Bei Chee Nyie Watanganyika Mnataka Vitu Bei Ya chini Sasa Utaweza kununua Gari ya Kimarekani na Kwenye Biashara Sio Kwamba Watanzania wasipo nunua gari za USA basi Ndo Marekani Inapata Hasara au Haifanyi Biashara za magari Kuna Nchi Za kitajiri ndo Wanatumia Gari Hizo Sio Maskini kama Huku Africa
Hizi KASUMBA za kusema gari za mchina ni takataka kwasababu ya bei Chee ni ujinga na uzandiki.Gari za Kichina ni Za Bei Chee Nyie Watanganyika Mnataka Vitu Bei Ya chini Sasa Utaweza kununua Gari ya Kimarekani na Kwenye Biashara Sio Kwamba Watanzania wasipo nunua gari za USA basi Ndo Marekani Inapata Hasara au Haifanyi Biashara za magari Kuna Nchi Za kitajiri ndo Wanatumia Gari Hizo Sio Maskini kama Huku Africa
Kaka asikuchoje huyo anaongea kwa kasumba kuna mengi hajui.Sawa nitajie sasa magari ya Kimarekani unayoyajua yanatumika huko ulaya
Ujinga in kuonesha hazarani vile ulivyo mpumbavu wiki iliyopitaa ripot imetoka kuwaa ulaya nzimaa magari ya umeme yanayouzika sana ni magari kutoka makampuni ya China hadi nchi ya ujermani ikapata wasiwasi kuaribiwa soko LA magari yake shida wapumbavu uku jamii forum wamekuwa wengi kuleta ushabikiKitu Kingine wenzako Wameshatoka Kwenye ushindani wa Magari Watu wanawaza Mambo Mengine Ndo Tofauti Hiyo Wee Umeshawza Kwanini Wamarekani Hawajawahi Kugombania tenda za Balabala huku Africa
Hapo umeitaja Qatar na UAE hapo Sio Africa hii Hizo Nchi za Kiarabu Sasa hivi Wanapeleka Watoto Wao Wakasome EUROPE walete Teknolojia urabuni Ukiniambia Habar ya Mchina unanichafua Coz Hawa Watu Ndo Kila Siku Tupo Nao huku Makazini Kwetu na Tunaona utaratibu Wao wa Kazi Jin's wanavyoendesha Kazi Zao Kiswahili kiswahili ila Wao Wanajijali Afya Zao huku Watu wakiangamia na Masumu Mahali pa Kazi ila Kwa Sababu Wewe hujui ndo Maana unawashobokea Wachina Kumbe WanyamaKaka asikuchoje huyo anaongea kwa kasumba kuna mengi hajui.
Hata huo mfano wake wa tenda za barabara hajui Qatar na UAE zinazosifiwa kuwa na barabara top 5 DUNIANI ZIMEJENGWA NA WACHINA,HAJUI SINGAPORE MOJA YA NCHI INAYOSIFIKA KUWA NA MIONGONI MWA MIUNDOMBINU BORA DUNIANI IMEJENGWA NA WACHINA.
Hajui kuwa China ameua soko la simu India kwa kuuza simu za bei nafuu japo cha kushangaza ni simu bora kuliko wanazotengeneza wenyewe wahindi na kuuza bei kubwa ambazo ni OPPO na Vivo.
Pia hajafuatilia Audi zinazotengenezwa China ambazo ubora wake unashindana na za Germany.
MZee China ipo na population ya watu 1.3b hao wachina ulionao kazini kwako ni wangapi? Wanajaa hata kwenye kiganja? halafu kwenye rangi nyekundu ni nini hicho?Hapo umeitaja Qatar na UAE hapo Sio Africa hii Hizo Nchi za Kiarabu Sasa hivi Wanapeleka Watoto Wao Wakasome EUROPE walete Teknolojia urabuni Ukiniambia Habar ya Mchina unanichafua Coz Hawa Watu Ndo Kila Siku Tupo Nao huku Makazini Kwetu na Tunaona utaratibu Wao wa Kazi Jin's wanavyoendesha Kazi Zao Kiswahili kiswahili ila Wao Wanajijali Afya Zao huku Watu wakiangamia na Masumu Mahali pa Kazi ila Kwa Sababu Wewe hujui ndo Maana unawashobokea Wachina Kumbe Wanyama
Siku hizi wana fanya kama mitungi ya gas ukienda kituoni wana weka ingine unaacha yako !Magari haya yapo na battery. Kwahiyo umeme wake ukiisha unaenda kuchaji kama unavyochaji simu yako. Kwa kutumia umeme wa kawaida unaweza kuchukua muda mrefu kuchaji hiyo bettary. KWaiyo kunakuwa na charger maalum au vituo maluum vya kuchargia haraka.
TESLA kampuni ya wapi? siyo kama wameacha gharama za kutengeneza gari USA ni tofauti na CHINA makampuni yote makubwa ya magari duniani Yana branch zao CHINA fah masiala nini na chinaKitu Kingine wenzako Wameshatoka Kwenye ushindani wa Magari Watu wanawaza Mambo Mengine Ndo Tofauti Hiyo Wee Umeshawza Kwanini Wamarekani Hawajawahi Kugombania tenda za Balabala huku Africa
Ila ndio wanatawala kwenye soko la duniaWewe hujui kitu unavyoonyesha Kwa Hiyo unafikili Watz wakitumia Magari ya Kichina ndo Wachina wamemzid MMarekani Kwenye technology ya magari hizo gari Zote ulizoorezeaha hapo ni Takataka
Unahama mada huku mara kule.Hapo umeitaja Qatar na UAE hapo Sio Africa hii Hizo Nchi za Kiarabu Sasa hivi Wanapeleka Watoto Wao Wakasome EUROPE walete Teknolojia urabuni Ukiniambia Habar ya Mchina unanichafua Coz Hawa Watu Ndo Kila Siku Tupo Nao huku Makazini Kwetu na Tunaona utaratibu Wao wa Kazi Jin's wanavyoendesha Kazi Zao Kiswahili kiswahili ila Wao Wanajijali Afya Zao huku Watu wakiangamia na Masumu Mahali pa Kazi ila Kwa Sababu Wewe hujui ndo Maana unawashobokea Wachina Kumbe Wanyama