Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atahutubia Jimbo la Hai, Bomang'ombe

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,600
Reaction score
624
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), Mhe. John Heche, anatarajiwa kuwa mzungumzaji mkuu katika mkutano wa hadhara wa "Operesheni Katiba Mpya" utakaofanyika leo Boma ng'ombe, Wilayani Hai, kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 12:00 jioni (15:00 - 18:00 EAT).

Mkutano huo umeandaliwa na CHADEMA Kanda ya Kaskazini ili kuhamasisha na kudai Katiba Mpya.

1000020097.jpg
 
View attachment 3692860
I hope ameenda kutubu kwa Freeman Mbowe, maana alimtukana sana huyo kiongozi mstaafu wa chadema taifa, right?🐒
 
kumbe alimtukqnq yule dalali wenu??
Yes,
alimtukana sana Freeman Mbowe, alimvua nguo sana Freeman Mbowe, na kwakweli alitweza utu wa Freeman Mbowe mpaka alitaka kupewa tunzo ya mtukanaji bora zaidi na hodari 2025.

Nina hakika 100%,
ameenda kutubu kwa kumosea adabu Freeman Mbowe 🐒
 
Unamzungumzia mbowe yupi? Yule aliyekuwa mwenyekiti dalali wa ccm?
 
We jamaa km haupo kwny mgao wa abduli bas utakua mwanachama wa CCM mwendawazimu kuliko wote
 
kama kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi ni uendawazimu zaidi ya kutibua minywele, nadhani nitafanya wajibu huu kwa bidii zaidi aise 🐒
 
Unamzungumzia mbowe yupi? Yule aliyekuwa mwenyekiti dalali wa ccm?
naona umanza kukumbusha jinsi Heche alivyomkosea adabu Freeman Mbowe, na akawa anamtukana na kutweza utu na heshima ya Freeman Mbowe na Familia yake 🐒
 
kama kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi ni uendawazimu zaidi ya kutibua minywele, nadhani nitafanya wajibu huu kwa bidii zaidi aise 🐒

Nakutana sana na comments zako kuna namna una engage km mtu aliekatwa kichwa ama aliemeza maji ya bendera ya ccm,in short uns operate km mtu ambae alie closed minded na ccm na maovu yake
 
naona umanza kukumbusha jinsi Heche alivyomkosea adabu Freeman Mbowe, na akawa anamtukana na kutweza utu na heshima ya Freeman Mbowe na Familia yake 🐒

I don't condone matusi,ila Mbowe kwny CV yake ama katika historia ya upinzan Tanzania anahitaj heshima gan?!
 
Nakutana sana na comments zako kuna namna una engage km mtu aliekatwa kichwa ama aliemeza maji ya bendera ya ccm,in short uns operate km mtu ambae alie closed minded na ccm na maovu yake
kwahiyo mtu ambae hajakatwa kichwa kama wewe wajibu wake ni kutukana na kuporomosha matusi tu jukwaani huku akiwa completely pointless, right?🤣
 
I don't condone matusi,ila Mbowe kwny CV yake ama katika historia ya upinzan Tanzania anahitaj heshima gan?!
hata kama hamumuheshimu Freeman Mbowe, it's well and good, but kulikoni kumtukana yeye na familia yake?

au ndio ile,
vibwengo kuvamia siasa?🤣
 
unazid kuprove nilichosema, uyo mbowe ambae ww mwanaccm unampigania kwny huu uzi unadhan anahitaj heshima gan,badala ya kujibu hili nione km unachochote kichwan unajichekesha tu.
 
Gentleman,
as modern times politician,
simpiganii wala wala kumtetea mwanasiasa yeyote yule mwenye uwezo wa kujitetea mwenyewe.

wajibu wangu daima hua ni kueleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu, then namove on regardless ya porojo, mihemko, makasiriko au matusi ya mdau yeyote yule wa Jf dhidi ya maelezo yangu mahususi.

Kama mwanasayansi katika siasa, mihemko nonsense jukwaani dhidi ya maelezo yangu hua naona kama hot air tu, coz mimi nafanya siasa na kamwe siwezi kubabaika na vitu useless vilivyo nje ya siasa.

I'm not here to be Loved, liked or seeking popularity or respect, but I'm here for only politics gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom