Bora mbowe awe kama mama, mambo ya kutubu ya nini dawa ni kupotezwa tuu.I hope ameenda kutubu kwa Freeman Mbowe, maana alimtukana sana huyo kiongozi mstaafu wa chadema taifa, right?š
Bora mbowe awe kama mama, mambo ya kutubu ya nini dawa ni kupotezwa tuu.I hope ameenda kutubu kwa Freeman Mbowe, maana alimtukana sana huyo kiongozi mstaafu wa chadema taifa, right?š
Halafu unaambiwa alikuwa house boy wa Mbowe.Yes,
alimtukana sana Freeman Mbowe, alimvua nguo sana Freeman Mbowe, na kwakweli alitweza utu wa Freeman Mbowe mpaka alitaka kupewa tunzo ya mtukanaji bora zaidi na hodari 2025.
Nina hakika 100%,
ameenda kutubu kwa kumosea adabu Freeman Mbowe š
Mwamba anatisha hanunuliki wala niniMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), Mhe. John Heche, anatarajiwa kuwa mzungumzaji mkuu katika mkutano wa hadhara wa "Operesheni Katiba Mpya" utakaofanyika leo Boma ng'ombe, Wilayani Hai, kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 12:00 jioni (15:00 - 18:00 EAT).
Mkutano huo umeandaliwa na CHADEMA Kanda ya Kaskazini ili kuhamasisha na kudai Katiba Mpya.
View attachment 3692860
Ahahahahaha! Akili Kubwa hao!hiyo akili kubwa imejaa makasiriko mbaya sana aise![]()
Unajuwa toka siku nyingi humu; unapogusa tu nilipo ni lazima nkushughulikie kama mzoga ulivyo. Hadi siku tutakapochoma mizoga yote na kumaliza mivundo yote ya nguruwe wa Samia, hapo ndipo habari yako nitaiweka pembeni. Kwa sababu tutakuwa hatuna usumbufu tena wa mizoga kama wewe.Kama mwanasayansi katika siasa,
mirejesho ya mikutano ya hadhara ya kisiasa, inasaidia sana kuweka rekodi sawa hususani dhidi yaliyozungumzwa na mwenyekiti wa chadema taifa aliejitangaza mwenyewe ndugu John Heche.
Bilashaka yoyote,
ni shauku ya kila mwanasiasa makini kutaka kujua mwenyekiti mpya wa chadema taifa aliejitangaza mwenyewe, kasema nini leo gentleman, au kuna ubaya wowote?![]()
Nitaachaje kuwa na makasiriko wakati taifa linaangamia kwa kuzongwa na mizoga kama wewe. Hii mivundo yote ni lazima tuiondoe taifa liweze kusonga mbele tena kwa uhakika.hiyo akili kubwa imejaa makasiriko mbaya sana aise![]()