Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atahutubia Jimbo la Hai, Bomang'ombe

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), Mhe. John Heche, anatarajiwa kuwa mzungumzaji mkuu katika mkutano wa hadhara wa "Operesheni Katiba Mpya" utakaofanyika leo Boma ng'ombe, Wilayani Hai, kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 12:00 jioni (15:00 - 18:00 EAT).

Mkutano huo umeandaliwa na CHADEMA Kanda ya Kaskazini ili kuhamasisha na kudai Katiba Mpya.

View attachment 3692860
Anakuja bila hodi.
Haya na aje tu....
 
Basi mfuate akakulindie mgongo
halafu kuna jambo linakosewa kidogo gentleman,

John Heche amejitangaza kua ndie mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu wake.

ni vizuri kuweka rekodi vizuri na sawa na itapendeza zaidi. Tuache matusi jukwaa la siasa.šŸ’
 
Attachments

  • 6419725-0313c6941c78c04e45f3729883c2d1ec.mp4
    4.8 MB
halafu kuna jambo linakosewa kidogo gentleman,

John Heche amejitangaza kua ndie mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu wake.

ni vizuri kuweka rekodi vizuri na sawa na itapendeza zaidi. Tuache matusi jukwaa la siasa.šŸ’
Halafu muda ni wa kuambiwa kama mkutano umefanyika hapo Bomang'ombe ama la.
 
Ni mkutano muhimu huu utakaofanyika hapo.
Unaweza kuwa kielelezo muhimu sana kuhusu mambo mengi; lakini hasa kubwa na la muhimu ni utayari wa waTanzania kuhusu mabadiliko makubwa ndani ya taifa hili.

WanaBomang'ombe, waonyesheni utayari wenu juu ya mabadiliko mnayoyataka waTanzania wenzenu popote walipo.
 
MIaka 65 mmeshindwa kuwapatia watu maji mnahangaika na huyo dalali wenu acheni upumbavu mbwa nyinyi
 
Halafu muda ni wa kuambiwa kama mkutano umefanyika hapo Bomang'ombe ama la.
Yes,
it's right time kupewa updates za kinachoendelea hapo bomang'ombe ground,

mwenyekiti wa chadema taifa ndugu John Heche anasema nini leo kumuhusu Freeman Aikaeli Mbowe šŸ’
 
Ni mkutano muhimu huu utakaofanyika hapo.
Unaweza kuwa kielelezo muhimu sana kuhusu mambo mengi; lakini hasa kubwa na la muhimu ni utayari wa waTanzania kuhusu mabadiliko makubwa ndani ya taifa hili.

WanaBomang'ombe, waonyesheni utayari wenu juu ya mabadiliko mnayoyataka waTanzania wenzenu popote walipo.
Yaani mpaka unapost ni saa kumi na moja na dakika kumi na tatu inamaana umeishafanyika ama bado?
 
Ni mkutano muhimu huu utakaofanyika hapo.
Unaweza kuwa kielelezo muhimu sana kuhusu mambo mengi; lakini hasa kubwa na la muhimu ni utayari wa waTanzania kuhusu mabadiliko makubwa ndani ya taifa hili.

WanaBomang'ombe, waonyesheni utayari wenu juu ya mabadiliko mnayoyataka waTanzania wenzenu popote walipo.
Gentleman,
Kwenye mkutano huo muhimu hapo Bomang'ombe grounds , huenda John Heche akasisitiza kwamba yeye ndie mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti, ili kuwaziba midomo wanaokataa ukweli huo, right?

Na,
I hope atajiepusha kabisa kumtukana Freeman Aikaeli Mbowe kama kawaida yake, right?šŸ’
 
Ondoa mvundo wako hapa Mzoga wa nguruwe wewe.
hata huoni ni wapi uelekeze mvundo huo?
 
kuna updates zozote za kinachoendelea mkutanoni hapo bomang'ombe ground gentleman, kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa chadema taifa aliejitangaza mwenyewe ndugu John Heche?šŸ’
 
Nguruwe anayevunda mtaani itakusaia nini kujuwa kama kuna mrejesho?
 
Kama mwanasayansi katika siasa,
mirejesho ya mikutano ya hadhara ya kisiasa, inasaidia sana kuweka rekodi sawa hususani dhidi yaliyozungumzwa na mwenyekiti wa chadema taifa aliejitangaza mwenyewe ndugu John Heche.

Bilashaka yoyote,
ni shauku ya kila mwanasiasa makini kutaka kujua mwenyekiti mpya wa chadema taifa aliejitangaza mwenyewe, kasema nini leo gentleman, au kuna ubaya wowote? :pedroP:
 
Fisadi wa tonetone kapata aibu ya Karne, watu waliokuja hawafiki hata 20
 
Mbowe naye hajaja, kama waasisi wa chama wamemkataa fisadi wa tonetone mie ni nani nimkubali?
 
Back
Top Bottom