Dah Bomangombe nimepamiss sana. Njia panda ya Sanya juu.
Omba ruhusa kwa Mishangazi ya kilatini uende kwa Sadala.Dah Bomangombe nimepamiss sana. Njia panda ya Sanya juu.
Mpaji Mungu nguvu AXIOM APEX VERBOSE Monetary doctor
babanguuuu maranguuuDah Bomangombe nimepamiss sana. Njia panda ya Sanya juu.
Mpaji Mungu nguvu AXIOM APEX VERBOSE Monetary doctor
I hope ameenda kutubu kwa Freeman Mbowe, maana alimtukana sana huyo kiongozi mstaafu wa chadema taifa, right?πMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), Mhe. John Heche, anatarajiwa kuwa mzungumzaji mkuu katika mkutano wa hadhara wa "Operesheni Katiba Mpya" utakaofanyika leo Boma ng'ombe, Wilayani Hai, kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 12:00 jioni (15:00 - 18:00 EAT).
Mkutano huo umeandaliwa na CHADEMA Kanda ya Kaskazini ili kuhamasisha na kudai Katiba Mpya.
View attachment 3692860
kumbe alimtukqnq yule dalali wenu??I hope ameenda kutubu kwa Freeman Mbowe, maana alimtukana sana huyo kiongozi mstaafu wa chadema taifa, right?π
Dah zile ndizi sokoni kwa sadala. Umenikumbusha mbaaaaliii.Omba ruhusa kwa Mishangazi ya kilatini uende kwa Sadala.
Yes,kumbe alimtukqnq yule dalali wenu??
Ngoja mi niende.Kwa matusi aliyomtukana mbowe, wanachadema tumegoma hatuji atahutubia upepo, huyu fisadi papa wa tonetone
Unamzungumzia mbowe yupi? Yule aliyekuwa mwenyekiti dalali wa ccm?Yes,
alimtukana sana Freeman Mbowe, alimvua nguo sana Freeman Mbowe, na kwakweli alitweza utu wa Freeman Mbowe mpaka alitaka kupewa tunzo ya mtukanaji bora zaidi na hodari 2025.
Nina hakika 100%,
ameenda kutubu kwa kumosea adabu Freeman Mbowe π
Yes,
alimtukana sana Freeman Mbowe, alimvua nguo sana Freeman Mbowe, na kwakweli alitweza utu wa Freeman Mbowe mpaka alitaka kupewa tunzo ya mtukanaji bora zaidi na hodari 2025.
Nina hakika 100%,
ameenda kutubu kwa kumosea adabu Freeman Mbowe π
kama kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi ni uendawazimu zaidi ya kutibua minywele, nadhani nitafanya wajibu huu kwa bidii zaidi aise πWe jamaa km haupo kwny mgao wa abduli bas utakua mwanachama wa CCM mwendawazimu kuliko wote
naona umanza kukumbusha jinsi Heche alivyomkosea adabu Freeman Mbowe, na akawa anamtukana na kutweza utu na heshima ya Freeman Mbowe na Familia yake πUnamzungumzia mbowe yupi? Yule aliyekuwa mwenyekiti dalali wa ccm?
kama kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi ni uendawazimu zaidi ya kutibua minywele, nadhani nitafanya wajibu huu kwa bidii zaidi aise π
naona umanza kukumbusha jinsi Heche alivyomkosea adabu Freeman Mbowe, na akawa anamtukana na kutweza utu na heshima ya Freeman Mbowe na Familia yake π
kwahiyo mtu ambae hajakatwa kichwa kama wewe wajibu wake ni kutukana na kuporomosha matusi tu jukwaani huku akiwa completely pointless, right?π€£Nakutana sana na comments zako kuna namna una engage km mtu aliekatwa kichwa ama aliemeza maji ya bendera ya ccm,in short uns operate km mtu ambae alie closed minded na ccm na maovu yake
hata kama hamumuheshimu Freeman Mbowe, it's well and good, but kulikoni kumtukana yeye na familia yake?I don't condone matusi,ila Mbowe kwny CV yake ama katika historia ya upinzan Tanzania anahitaj heshima gan?!
hata kama hamumuheshimu Freeman Mbowe, it's well and good, but kulikoni kumtukana yeye na familia yake?
au ndio ile,
vibwengo kuvamia siasa?π€£
Gentleman,unazid kuprove nilichosema, uyo mbowe ambae ww mwanaccm unampigania kwny huu uzi unadhan anahitaj heshima gan,badala ya kujibu hili nione km unachochote kichwan unajichekesha tu.