Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atahutubia Jimbo la Hai, Bomang'ombe

I hope ameenda kutubu kwa Freeman Mbowe, maana alimtukana sana huyo kiongozi mstaafu wa chadema taifa, right?πŸ’
Bora mbowe awe kama mama, mambo ya kutubu ya nini dawa ni kupotezwa tuu.
 
Halafu unaambiwa alikuwa house boy wa Mbowe.
 
Mwamba anatisha hanunuliki wala nini
 
Unajuwa toka siku nyingi humu; unapogusa tu nilipo ni lazima nkushughulikie kama mzoga ulivyo. Hadi siku tutakapochoma mizoga yote na kumaliza mivundo yote ya nguruwe wa Samia, hapo ndipo habari yako nitaiweka pembeni. Kwa sababu tutakuwa hatuna usumbufu tena wa mizoga kama wewe.
 
hiyo akili kubwa imejaa makasiriko mbaya sana aise
Nitaachaje kuwa na makasiriko wakati taifa linaangamia kwa kuzongwa na mizoga kama wewe. Hii mivundo yote ni lazima tuiondoe taifa liweze kusonga mbele tena kwa uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…