Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Ndiyo hiyo waislamu ni wadini dhidi ya haki ...kama wangekuwa wadini kwa ajili ya haki ingekuwa sahihi wala nisinge wahita wapumbavu...Wewe una ubongo wa pilitoni. Unaposema isilamu hawapiganii haki.. unamaana gani? Kwa maana nyingine unasema wana udini dhidi ya haki. Umesema kitu kile kile.
Udini tunao upinga ni udini wa kuthamini DINI DHIDI YA HAKI na udini tunao ukubali ni udini wa kuthaminj DINI KWA AJILI YA HAKI