PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) ajivua Uanachama

PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) ajivua Uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbowe mwenyewe kawatanguliza wenzake asome upepo, ameona haukawa sawa huko Chauma hajuai afanyeje. Alichotegemea kimekataa.
Mbowe kachemka sana. Ni wazi alipokea mlungula kutoka kwa Mama Abduli na si vinginenyo.
 
Udini wa kutetea haki tunauunga mkono ila udini wa kutetea wahuni na mafisadi tunaupinga ...udini wa wakristo ni mzuri ila udini wa waislamu ni kuunga mkono waovu wa dini yao ...
Huu nao ni udini.
 
Huu nao ni udini.
Udini ni kama ukabila ....ukabila wala udini siyo tatizo..... tatizo ni udini au ukabila ulio dhidi ya haki ...ni kama neno uchochezi ...neno uchochezi siyo tatizo ..tatizo ni uchochezi ulio dhidi ya haki ..pia neno ubaguzi (kubagua) halina shida yoyote ...mfano wewe unaposema unataka kuoa muislamu mwenzako au mkristo mwenzako huo ni ubaguzi ila upo ndani ya haki hivyo siyo kosa kubagua ndani ya haki ...ubaguzi usiofaa ni ule ubaguzi ulio dhidi ya haki ...hii ninayo kupa hapa ni elimu ambayo hakuna msomi wala mwanasheria anyeweza kukuelimisha ...wao watakuambia udini ni kosa au ubaguzi ni kosa au uchochezi ni kosa ila mimi nakuambia udini....ubaguzi ...uchochezi ...ubinafsi ...nk ambao mtu anaufanya ndani ya HAKI ni halali wala siyo kosa .
 
Kama uislamu wenyewe ni wakuunga mkono wahuni na kuabudu mabeberu na waarabu na kama uislamu wenyewe ni wakupiga vita uzalendo na wazalendo huo uislamu wa namna hiyo ni mpumbavu gani wa kuutaka? ...waislamu akili zenu mbovu mna tatizo la uanithi wa akili hii ndiyo shida yenu kubwa .....yani mnamuunga mkono mtu kwa kuangalia dini na si haki ...very stupid people.
Msenge mkubwa wewe, chadema hamna akili na chuki hizo za kidini zinazidi kiwadidimiza malofa wakubwa nyie. Mshambulie Samia au yeyote kwa matendo yake yeye kama yeye na sio kuwahusisha Waislamu wote. Waislamu waliwahi kumpinga JPM?!!!! Mbona hamukuwashambulia?!!!! Sasa hivi baadhi tu wanafanya hivyo Huku wengi wakibaki kimya tena wengine mkiwa nao nyie lakini Kila siku mnakesha mkiwatukana Waislamu wote. Tuna furaha kulijua hili.
 
Udini ni kama ukabila ....ukabila wala udini siyo tatizo..... tatizo ni udini au ukabila ulio dhidi ya haki ...ni kama neno uchochezi ...neno uchochezi siyo tatizo ..tatizo ni uchochezi ulio dhidi ya haki ..pia neno ubaguzi (kubagua) halina shida yoyote ...mfano wewe unaposema unataka kuoa muislamu mwenzako au mkristo mwenzako huo ni ubaguzi ila upo ndani ya haki hivyo siyo kosa kubagua ndani ya haki ...ubaguzi usiofaa ni ule ubaguzi ulio dhidi ya haki ...hii ninayo kupa hapa ni elimu ambayo hakuna msomi wala mwanasheria anyeweza kukuelimisha ...wao watakuambia udini ni kosa au ubaguzi ni kosa ila mimi nakuambia udini....ubaguzi ...uchochezi ...ubinafsi ....ambao mtu anaufanya ndani ya HAKI ni halali wala siyo kosa .
Unapofanya collective judgement kuwa watu wa dini fulani wako hivi. Huo ni udini.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.

Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.

"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."

"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."

Kobazi tu
NO REFORMS NO ELECTION
 
Anataka kujadiliwa ili watu wasahau kesi ya mwenyekiti. Anatumika huyu.
 
Unapofanya collective judgement kuwa watu wa dini fulani wako hivi. Huo ni udini.
Nimekuambia udini hauna shida ...shida ni udini unao tumika dhidi ya haki ....soma komenti zangu zote utaelewa nafundisha nini ...tumia akili
 
Hii ni habari njema sana kwa chademq.... ukweli usemwe 😁😁😁😁 asilimia 60 ya viongozi waislamu waliopo chadema ni magugu ya ccm
Mtamchukia kila mtu na bado
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.

Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.

"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."

"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."

Survival of the fittest.. If you are weak you won't make it..!
 
Kijana wa Ponda huyu anaelekea ACT wazalendo
Soon ACT wazalendo itageuka ni chama cha kidini fulani na hakuna wa anayeona mjongeo huu. Huya anaachana na CHADEMA kinamna halafu baadaye aseme anajiunga na ACT kwani amevutiwa na sera zake
 
Watu wengine kwa chama ni wadogo kuliko sisimizi halafu wanafikiri watayumbisha chama.

Sasa naona wameona kujiunga CHAUMMA haisadii wamebadili mbinu.

Anyway, wana akili finyu kama za yule anaewatumia.
chaumma wameona imebuma haina vibe ikabidi ikabidi watumie plan B
 
Uislam umeingiaje? John mrema, Devotha minja nk wameama chadema mbona ujausema ukristu wao. Acha chuki na uislam.
achaga kujishitukia mdini wewe, ukitajwa uislam mnaumia sana kana kwambwa mmetoneshwa kidonda. Kuna chuki gani hapo?
 
Chama kimechanganyikiwa kila siku watu wanajivua vipi mmechoka kuvaa?
 
Nimekuambia udini hauna shida ...shida ni udini unao tumika dhidi ya haki ....soma komenti zangu zote utaelewa nafundisha nini ...tumia akili
Wewe una ubongo wa pilitoni. Unaposema isilamu hawapiganii haki.. unamaana gani? Kwa maana nyingine unasema wana udini dhidi ya haki. Umesema kitu kile kile.
 
Back
Top Bottom